Cami vs vitz vs Sienta vs spacio

Cami vs vitz vs Sienta vs spacio

natoka nje kidogo. jaribu Toyota Rush, cc 1490 na ni 4WD, pia imeinuka. hata ikitokea safari ya pori huwazi.
 
natoka nje kidogo. jaribu Toyota Rush, cc 1490 na ni 4WD, pia imeinuka. hata ikitokea safari ya pori huwazi.
ni gari nzuri ila bei yake sio rafiki halafu cami ni kama rush sema tuu cami ni ya kizaman
 
Kwa 10m, sijaona Rush hata mkononi mwa mtu... nimetafuta sana hii kitu na sijui kwanini iko juu sana bei yake
inategemea na unapotafuta mkuu, ingawa ni kweli ni ngumu. ila zipo. kwa inayotoka Japan isipitie tu kwa kina SBT na wengineo.
 
inategemea na unapotafuta mkuu, ingawa ni kweli ni ngumu. ila zipo. kwa inayotoka Japan isipitie tu kwa kina SBT na wengineo.
Mkuu naomba unionyeshe Rush ya chini ya 15m, sidhani hata mkononi utapata Rush ya 12m.
 
I'd go for cami, angalau linatembea njia zetu za ndani ndani vizuri. Hizi Spacio, Vitz , IST nk tunazionea tu. Njia za ndani huko mbovu sana.
 
Back
Top Bottom