Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kwa bajeti yako ya 10M unapata mkononi straight from Japanni gari nzuri ila bei yake sio rafiki halafu cami ni kama rush sema tuu cami ni ya kizaman
engne 1.3L, High performance, space ya kutosha ndannipe sifa zake mkuu
Kwa 10m, sijaona Rush hata mkononi mwa mtu... nimetafuta sana hii kitu na sijui kwanini iko juu sana bei yakekwa bajeti yako ya 10M unapata mkononi straight from Japan
inategemea na unapotafuta mkuu, ingawa ni kweli ni ngumu. ila zipo. kwa inayotoka Japan isipitie tu kwa kina SBT na wengineo.Kwa 10m, sijaona Rush hata mkononi mwa mtu... nimetafuta sana hii kitu na sijui kwanini iko juu sana bei yake
inategemea na unapotafuta mkuu, ingawa ni kweli ni ngumu. ila zipo. kwa inayotoka Japan isipitie tu kwa kina SBT na wengineo.
Mkuu naomba unionyeshe Rush ya chini ya 15m, sidhani hata mkononi utapata Rush ya 12m.inategemea na unapotafuta mkuu, ingawa ni kweli ni ngumu. ila zipo. kwa inayotoka Japan isipitie tu kwa kina SBT na wengineo.
High performance ukimaanisha nini mkuu?engne 1.3L, High performance, space ya kutosha ndan
sport carHigh performance ukimaanisha nini mkuu?
Hakuna Rush ya 10m tanzania; kama unayo weka hapainategemea na unapotafuta mkuu, ingawa ni kweli ni ngumu. ila zipo. kwa inayotoka Japan isipitie tu kwa kina SBT na wengineo.
Hii point sijaelewa vizuri...huoni vizuri kivipi....mbona nimewahi kupewa lift kwenye spacio nikawa naona mbele vizuri tu kama kwenye magari mengine?shukran but... spacio kioo chake cha mbele ukiwa ndani hupati kuona vizuri nje ila ni gari nzuri kimuonekano
Afu watu wengi wanaoendesha spacio wanakuaga kama wameinama hivi mtaani inaitwa 'Chuma mboga driving style".shukran but... spacio kioo chake cha mbele ukiwa ndani hupati kuona vizuri nje ila ni gari nzuri kimuonekano
Rush ni nzuri tatizo bei yake ipo juunatoka nje kidogo. jaribu Toyota Rush, cc 1490 na ni 4WD, pia imeinuka. hata ikitokea safari ya pori huwazi.