Camouflagers na informers


[emoji23][emoji23] alichokutana nacho hakiamini kabisa
 
Kunaa jamaa angu kipindi Cha shule secondary alikuwa infomer wa headmaster,afuu mchizi msela Sanaa na wakujichanganya kinoma,tukipiga tukio na yeye yumo Ila tunashangaa information zinafika kwa mkuu vile vile tulivyo panga au kuongea,tukawa tunaisi labda headmaster machawii....siku mojaa alikuwa anatoa information kumbe Kuna ndugu alimsikia akaja kututonya
 
Wanaanziaga mbali hawa wadudu
 
Huyo ndio infoma sasa [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Bro punguza tango pori jamani
 
mimi nilishuhudia kuna jamaa ALIKUWA ni bodaboda ananichukuaga home ananipeleka kazini na kunirudsha pia, ...kuna siku alitukanana na demu mmoja ivi ambaye alimtongoza mara kwa mara afu demu anachomoa, jamaa alimtukana sana na demu pia alimtukana hadi hatua ya kutaka kupigana lakin watu waliokoa hilo, sasa ikafika mida ya sa kumi na moja jion mana waligombana mchana, yule demu akaja na kikosi Cha watu, afu akakaa pembeni , wale jamaa waliokuja na Demu wakaenda kwa yule mshikaji bodaboda wakamshika wakasema wao ni police na wanataka wampeleke kutuoni jamaa aliomba kuoneshwa kitambulisho ili kuamini ni police lakini walimtia pingu na kumpeleka kwenye gari yao aina ya Alphad , wakaingia humo ndani baada ya mda kama dk5 Tukaanza kusikia makelele ndani ya gar watu wakafika milango ikafunguliwa na waliokuwamo ndani, .... ase wale jamaa walitoka wameiva wamechapwa balaaa kumbe jamaa alikuwa ni mwanajeshi siku zote hizo hakuna aliekuwa anajua, ...walipomfungulia pingu jamaa akawapakia kwenye hilo gari lao na kumbeba na demu.... sijawah kumuona huyo jamaa mpaka leo ase ...

hivyo naamini katika post yako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…