Camouflagers na informers

katika hili ile kanuni ya viceversa inaniambia ni wew ndio mlengwa ila hapa umepindisha stori
 
Sema camouflagers na informers wa bongo ni kama machawa tu wengi hawatumiwi kusaidia maendeleo bali kupeleleza nan anakosoa chama fulan na nani anampinga kiongozi gani, Ila ukiangalia nchi zilizoendelea nyingi wanatumia mabalozi wao 20%kwenye diplomasia alaf 80% wanatumia Kwny ishu za kiujasusi kwa manufaa ya nchi zao kwa njia ya kukusanya data mbalimbali zitakazosaidia kuendeleza nchi zao kweny nyanja zote za Maisha.
 
Ukweli mchungu..![emoji1752]
 
Hamna kitu sikuizi wamechoka tu hata kufikiri, wanaamua kutishaia watu tu ooh sio raia , ooh uhujumu uchumu, mara sijui uchochezi, dalili za kufa kwa vitengo nyeti serikalini, wakijiongeza sana utaskia kampimeni mkojo, CRAP kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…