Camouflagers na informers

Camouflagers na informers

Sema camouflagers na informers wa bongo ni kama machawa tu wengi hawatumiwi kusaidia maendeleo bali kupeleleza nan anakosoa chama fulan na nani anampinga kiongozi gani, Ila ukiangalia nchi zilizoendelea nyingi wanatumia mabalozi wao 20%kwenye diplomasia alaf 80% wanatumia Kwny ishu za kiujasusi kwa manufaa ya nchi zao kwa njia ya kukusanya data mbalimbali zitakazosaidia kuendeleza nchi zao kweny nyanja zote za Maisha.
usilolijua ni kwamba wafanya kazi ote wa balozi yoyote na balozi akiwemo ni usalama wa taifa wa nchi husika.
 
Wewe mshana unajua mengi na Mimi napenda Sana kujua nisiyoyajua
[emoji23][emoji23][emoji1548][emoji1548][emoji1545][emoji1545][emoji1752][emoji1752][emoji1752][emoji1752]
 
Mi ndo mana huwa simwamini mtu hafu wengi huja na mada chokonozi kwenye group kwa malengo yake, nakumbuka nilisoma kisa cha CIA kumpandikiza muislamu mwenye msimamo Mkali kwenye msikiti na yeye ndo aliyekuwa ana plan ugaidi kumbe ni agent wenzake wakaenda kumshitaki nikajua hii dunia nikuwa makini na Ku angalia mambo ya kuongea ukiwa na watu unao wa fahamu na usio waelewa

Sent using Jamii Forums mobile app
Wakikuhitaji huchomoki. Omba Mungu huitajiki.
Watakuibia house girl wako. Utahangaika kutafuta, Atajitokeza binti kutoka Iringa Njombe,utaletewa na shoga wa mkeo. Kumbe house girl shushushu.
 
Wamemwagwa vijiweni kibao kama nyuki halafu utawakuta wao ndo wanachonga sana dhidi ya serikali, hususan kipindi kile cha maandalizi ya maandamano ya Mange!

Kwenye vijiwe vya wauza magazeti asubuhi na kwenye vijiwe vya shoe shiners wamejaa tele!

Wengine hawako professional kivile kwa sababu matendo yao huacha clue kwa raia

Raia nao hawana maana, wakishamjua tu hupeana taarifa kimyakimya kuwa mtu fulani informer, then kijiweni watu huanza kumchora tu movements zake, na ikishafika hatua hiyo hawezi kupata information za maana za kiintelijensia, labda azipike yeye mwenyewe kufurahisha wakubwa zake!
Hiyo makusudi. Hapo kuna huyo atakaye jipambanua. Akifika mnanyamaza. Halafu ataondoka. Mtaanza kumsema, kumbe kuna mtu mbili zimebaki zinawachimba.
 
Wakikuhitaji huchomoki. Omba Mungu huitajiki.
Watakuibia house girl wako. Utahangaika kutafuta, Atajitokeza binti kutoka Iringa Njombe,utaletewa na shoga wa mkeo. Kumbe house girl shushushu.
Ni mpaka yakukute haya mambo ndio unaweza kupata uhalisia wake
 
Back
Top Bottom