Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 301,577
- 754,412
- Thread starter
- #81
Maswali ya msingi ya kujiuliza ...
1. Utawajuaje?
2. Wapi huchukua hayo mafunzo?
Nikipata majibu ya hayo maswali nitaongeza mengine ..
Nimeuliza maswali haya kwa sababu zifuatazo ...
Ninapoishi kuna ofisa mmoja .. nilimpa habari za uhakika .. akabeza na kuniuliza kuwa nimepataje taaarifa muhimu kama hizo kabla yake .. nilimjibu apige simu kwa yeyote aliyeko kwenye kituo chake cha kazi ili apate uhakika. Kabla hajapiga nilimeongezea habari kuwamuda mfupi gari litapitisha wahusika wakipelekwa panapohusika.
Alipopiga simu aliambiwa kuwa habari ni za kweli ...
Mpaka leo huwa hataki tukae sehemu moja, nikiingia sehemu alipo lazima yeye atoke. Akinikuta sehemu atasalimia na kuondoka tu.
Hisia zangu zinanituma kuwa nahisi mimi ni aina ya hao watu wakati mimi siko kabisa kwenye kazi za ajabu-ajabu kama hizo.
Macho na masikio kwako wewe ulosoma hii chango yangu.
Kwasasa sijui wanapatikanaje kwakuwa tumefanya siasa ndio kila kitu katika maisha yetu ya sasa... Ila enzi za mchonga hawa watu walichujwa tangu wakiwa shule ya msingi.... Kumbuka hakunaga interview kwenye hizi postHaya yanajulikana toka enzi za mwalimu
Wanaochaguliwa hupitia mchakato mrefu wa msasa na kutengenezwa lakini pia huwa lazima wawe na kitu cha ziada kuliko wengine kama
.Ukimya
. Uchangamfu
. IQ kubwa
. Uvumilivu
Nknk
Hawa huwa hajitangazi wala kutangazwa, j apo kuna ambao huwekwa kujitangaza kwa nia maaalum
Jr[emoji769]