Camouflagers na informers

Camouflagers na informers

Hivi kwani hawana watu wengine [emoji23]
20230821_083542.jpg
 
.
 

Attachments

  • 20240218_104953.jpg
    20240218_104953.jpg
    88.1 KB · Views: 22
Camouflage na informers wapo wengi sana...

Haswa wengine utawakuta maeneo ambayo kwa hali ya kawaida mtu hawezi kuthubutu kuweka bishara ya kuuza vipipi na karanga eneo hilo...

Ningeyataja hayo maneno ila wacha niake kimya...


Cc: mahondaw
Taja kidogo tujifunze hii jeiefu
 
Uko sahihi sana watu wengi hata hapa nchini kwetu wamepotea kwasabu ya kutokuwa makini, ni wapi azungumze nini, na wapi asizungumze. Dunia hii ni kuwa defensive all da time.
Wanalisubiri sehem fulan wakuvalishe gunia
 
Ufafanuzi ni kwamba nchini Marekani na nchi nyingine zilizoendelea ndiyo wanaofata vizuri kanuni za kuajiri watu wa kitengo,yani ni wale tu wenye IQ kubwa na si vinginevyo.Na ndiyo maana hata ukiwa bar nchini Marekani huwezi kusikia mtu akijisifia kuwa yeye yupo kitengo.Ushahidi ni huu ufuatao;

Marekani hao watu wa kitengo wapo wengine wanaoshughulikia ujasusi wa kiuchumi,yani wanaenda nchi nyingine kwa lengo la kuchunguza namna ya kufanya ili nchi yao ipate uchumi mkubwa kwakupitia nchi nyingine.

Wakati viinchi maskini vimejikita ktk ujasusi wa kidola tu,huku uchumi ukiachwa pembeni,na ndiyo maana mikataba ya kijinga inasainiwa.Ikumbukwe watu wote wenye IQ kubwa hufikiri kwa kutumia ubongo na siyo tumbo.
Umenena
 
Binafsi nilishamwona mbunge wa Ilala maeneo ya Aggrey mara mbili ananunua na kula machungwa kwa machinga mmoja. Yule chinga nae atakuwa mtoa habari
 
Ni yeye 😀
 

Attachments

  • FB_IMG_1714152042720.jpg
    FB_IMG_1714152042720.jpg
    63.3 KB · Views: 25
Tena😳
 

Attachments

  • IMG-20240427-WA0081.jpg
    IMG-20240427-WA0081.jpg
    775.1 KB · Views: 17
Back
Top Bottom