Can A Husband Forgive Wife Caught In Adultery??

Can A Husband Forgive Wife Caught In Adultery??

Mimi nashukuru Mungu sijapata kuyashuhudia haya kwa macho, na ninamuomba Mungu pia aniepushe nayo, lakini niulize haya kwa forum hii;

  1. Hivi mnaoapa kuwa kamwe hautamsamehe mkeo/mmeo akikusaliti mmeoa/olewa? kama ndiyo, kwa muda gani sasa ukiwa ndani ya ndoa?
  2. Je, unamwamini mwenzio kwa 100%?
  3. Je, wewe umekuwa mwaminifu kwa 100%?
  4. What you may actually counts as cheating?
Nimependa tu kuulizia haya ili tusije kuwa tunabishana na watu ambao bado kwenye mahusiano yao wanazo ndoto kama walizonazo wanafunzi wakiwa vyuoni, kuwa haiwezekani kusota mwaka mtaani bila kazi, kumbe.........

Lakini kwa vyovyote kumbuka yafuatayo;

  1. You never know how much your partner loves you, but you will always know how much you loves your partner....
  2. Only a fool may trust his/her partner........
  3. Always a true love has no reason(s), but it is always associated with unlimited and unconditional sacrifices.....
  4. Better to expect the good, and getting the better, than expecting the best, but getting the better.....
  5. No one in this world loved his/her partner at least to the extent he/she want to be loved.....
  6. In marriages, men normally expects their wives to not change, but they do....! While women expects their husbands to change, but they don't.....!
 
Nimekosa la kusema kabisa hapa mwenye mke ndo atatoa maamuzi ya msingi ..usiusemee moyo
 
Kwahiyo unataka kuniambia kuwa mwanamke akimkamata mume wake akicheat akamsamehe huyo sio mwanamke kamili????? Au mkeo akikukamata unacheat na akakusamehe mkeo sio mwanamke kamili si ndio????

Nimeongelea wanaume hapo, kwa upande wa wanawake mara nyingi ni opposite yetu I mean they can easily forgive in such circumstances. Hii pia inaweza pia kuwa inajengwa na social factors coz mwanaume akiwa na wapenzi wengi jamii haimchukulii vibaya kama ambavyo mwanamke akiwa na wapenzi wengi.
 
Halafu hivi kwa nini mtu u cheat wakati ukijua fika kuwa hilo kwa mwenzio ni kosa? Halafu baada ya kucheat unataka usamehewe? Kwa nini?
 
jamii ilishabariki hilo
mke akitoka anaonekana ch... lakini mume akifanya hivyo huitwa kidum... totally unfair.
ni wazi hata mimi siwezi kusamehe kwa mtindo kama wa huo mkasa; ameaibishwa sana huyo bwana na kama atapona hiyo comma ujue amepewa nafasi ya 2 na mungu na asipotwanga talaka siku nyingine akimfuma yf atakufa kwa kihoro!
 
Kuna mkasa umetokea mtaani kwetu mwanaume kazimia mpaka hivi sasa sijui akiamka kutoka kwenye Coma sipati picha
I wish haya mambo ya Infii yasingekuwepo kwa nini kutesana hivi
huh.gif
With all sincerity i doubt if any man can...

FL1..huyo jamaa anahitaji kupewa pole.

Mim hata sijui ningefanya nini...ila ukweli utu uzima dawa. Nilipokuwa mpya kwenye ndoa nilikuwa na mawazo kama ya wengi wetu humu ndani kwamba hilo kosa la uasherati kwenye ndoa halisameheki. Ila kadri siku ninavyozidi kwenda na pia ninavyozidi kuuona uhalisia, mawazo yangu si yale tena ya day zero.

Ni jambo gumu sana kuliongelea. Kila mtu aombe ayasikie kwa wenzake!

DC
 
if men are too hesitant when it comes to forgiving,.mbona wanacheat sana?ahaha!we get what we deserve at times..fair play!..ol in ol it needs strength to forgive for both sexes
 
honestly,.i find this like just mtu anavoua familia ya mwenzake wakati ana yake..if u cheat afu useme ni ok koz you are a guy then ni ule usemi wa chako chetu,changu changu..so selfish!nakumbuka thread ya watoto wa israel,ppl sympathised sana,.but kuua daznt only mean kuchukua risasi na kumpiga mtu,.kumuumiza tu ur yf back at home koz of infidelity ni silaha tosha,kusononeka kwake ni a curse kwely,if you have lived in a family that had domestic violence unajua,.nobody is perfect but if you make your imperfectness as part of your life then its a disease,.if the guy wasnt cheating then Mungu amsaidie apone and try to live for today,.if he was,then its sad koz he faced his fair play vibaya,na Mungu pia amsadie ili akiinuka atajua how bad it feels to be cheated!
 
Kuna mkasa umetokea mtaani kwetu mwanaume kazimia mpaka hivi sasa sijui akiamka kutoka kwenye Coma sipati picha
I wish haya mambo ya Infii yasingekuwepo kwa nini kutesana hivi
huh.gif
With all sincerity i doubt if any man can...

msamehe mwanangu haina makombo akiosha mpya wala hakwenda nayo!
 
honestly,.i find this like just mtu anavoua familia ya mwenzake wakati ana yake..if u cheat afu useme ni ok koz you are a guy then ni ule usemi wa chako chetu,changu changu..so selfish!nakumbuka thread ya watoto wa israel,ppl sympathised sana,.but kuua daznt only mean kuchukua risasi na kumpiga mtu,.kumuumiza tu ur yf back at home koz of infidelity ni silaha tosha,kusononeka kwake ni a curse kwely,if you have lived in a family that had domestic violence unajua,.nobody is perfect but if you make your imperfectness as part of your life then its a disease,.if the guy wasnt cheating then Mungu amsaidie apone and try to live for today,.if he was,then its sad koz he faced his fair play vibaya,na Mungu pia amsadie ili akiinuka atajua how bad it feels to be cheated!

well said my dear...
 
Kuna wengine wanaweza kufauta ule mstari wa kusamehe saba mara sabini......wanasamehe na maisha yanaendelea....ila ni adimu sana watu wa aina hii...
Ila infii kwa mke, ney!

unamaana ukinifuma na teamo HAUTANISAMEHE?
jaman m sor b4 aujatufuma mpz rr!!!!
 
Back
Top Bottom