Can anyone guess who's the next Tanzania's President?

Huu uzi umeanzishwa na majasusi wa kenya kwa lengo mahsusi watanzania acheni kujifunua sana huu uzi umeanzishwa na idara ya ujasusi ya Kenya kitengo cha nchi za maziwa makuu

kenyans we watch you closely !!!
 
Yeyote kati ya wagombea waislamu ndiye atakayekuwa rais. Muungano umeshaiharibu Tanzania. Piga ua, hakuna jina la mkrisro litakalopita uchaguzi huu. Maana yake, hakuna tume huru ya uchaguzi na CCM hawatakuwa na ubavu wa kumweka mkristo!¡

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Upande wa Tanzania nakubaliana na wewe, upande wa Zanzibar ni VP wa serikali ya muungano wa sasa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Never on earth, huyo VP atabaki kwenye nafas yake mpaka 2025.

Take my words,
2020 Zanzibar ni Hussein Mwinyi hilo halina ubishi.
 
JANUARY MAKAMBA
 
Tanganyika hayuko ndani ya cabinet, itakuwaje hii?
Mkuu kuwa katibu mkuu wa chama ni zaidi ya kuwa waziri.

Sio lazima kila rais awe waziri, kama walivyotaka kujiaminisha kuwa ukiwa waziri wa mambo ya nje wewe ni rais. Ilianza kwa Mkapa, Kikwete kisha Membe nae akadhani itakuwa.

Kuna mtu nyuma ya pazia ni mwanafunzi wa Nyerere aliyeiva.

Muda utaongea, ila Bashiru mtamsikia tu 2025.
 

Wananzengo watakubali kiti kirudi kanda ya ziwa mfululizo..?




Sent from my iPhone using Tapatalk
 
Atashika Mtu ambaye hata hamjamtaja hapo nae ni Kamanda Mkuu wa Vita Mmoja yuko kwenye Shirika Moja la Umma kijana anaingia kwenye siasa next year
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…