Can anyone guess who's the next Tanzania's President?

Can anyone guess who's the next Tanzania's President?

Sijui nani atakayekuwa Mhe. Rais afuataye, lakini napenda awe Mhe. Mama Samia Suluhu:

1. Kuimarisha muungano wa Tanganyika na Zanzibar (kufikia 2025 itakuwa miaka 30 toka Jamhuri iongozwe na Rais Mzanzibari).
2. Anatokea Pwani ya Bahari (Nyerere (katokea bara); Mwinyi (pwani); Mkapa (bara); Kikwete (pwani): Magufuli (bara); Suluhu (pwani).
3. Ataendeleza mzunguko wa Rais mkali kufuatiwa na mpole. (Nyerere (mkali); Mwinyi (mpole); Mkapa (mkali); Kikwete (mpole): Magufuli (mkali); Suluhu (mpole). Mzunguko wa ukali na upole unawezesha wananchi kutulia na kufurahia maisha.
Of course, 'ukali' na 'upole' ni vitu subjective.
 
Profesa Makame Mbalawa
Kasim Majaliwa
Dr.Hussein Ally Mwinyi
Jafo
Samiha Suluhu Anaweza kuwa rais wa Zanzibar huyu 2020
January Makamba
 
kwa upinzani mie natamani sana kumuona Prof Jay analiongoza hili taifa. Siku akigombea nitampigia bure debe wa mitulinga namkubali mbaya kabisa
images%20(4).jpeg

ila namuona J Makamba upande wa kijani
 
I'd like to see how many Tanzanians are foreseers and trend readers!😂

2025 bado mbali muno. Subiri kwanza ifike angalau 2022 ndiyo watu ambao wako intuitive wanaweza kukupa picha nzuri!
 
Ndani ya miaka sita ijayo tunaona mengi mno.
 
Back
Top Bottom