Kertel
JF-Expert Member
- May 11, 2012
- 5,425
- 5,227
Dah! Hivi Hussein Mwinyi yupo nchi hii? Badala ya kumsikia waziri husika anayesikaka sana na Mkuu wa Majeshi. Mungu awe naye Mh Hussein mwinyi.Ni sahihi kabisa , akikosa basi awe Wiliam Lukuvi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dah! Hivi Hussein Mwinyi yupo nchi hii? Badala ya kumsikia waziri husika anayesikaka sana na Mkuu wa Majeshi. Mungu awe naye Mh Hussein mwinyi.Ni sahihi kabisa , akikosa basi awe Wiliam Lukuvi
UmepatiaNext president atakuwa ni Dr hamis kigwangala ambaye kwa sasa ni waziri wa utalii
I'd like to see how many Tanzanians are foreseers and trend readers!😂
Hussein Mwinyi
Hussein mwinyi
Hussein mwinyi
Nathani kati ya William lukuvi na majaliwa mmoja wao lazima awe rais wa jmt
Kama tunataka viongozi wabunifu na wachapa kazi basi naona Makonda au Jaffo fits the bill.
Ana vyeti?
jafo huyuhyu?
Mimi hapa,nachukua fomu soon,lol
Nani kasema vyeti ndio yard stick ya kupima uwezo wa kuongoza, ubunifu na uwajibikaji - tuna mifano tosha ahi ya kuonyesha kwamba watu wengi wana imani potofu kwamba kiongozi akiwa na utitiri wa shahada,basi, huyo ni kiongozi balabala - wakati hiyo si kweli hata kidogo.
Viongozi wengi mashuhuri Duniani wala hawakuwa na Elimu ya juu, mfano: Paul Kagame, Winston Churchill, John Major( elimu ya sekondari), Mao Tse Tung ( Librarian), Deng Tshao Ping( kada wa siasa), Jacob Zuma(Sekonary au shule ya msingi),Kenneth Kaunda (Mwalimu shule ya msingi), Samora Machiel(Muuguzi) etc. lakini viongozi wote tajwa hapo juu waliendeleza sana Nchi zao.
LE-MUTUZ ana sifa zote ulizotaja.Among the hardest things is to guess who will likely become the president after Magufuli 10 years tenure.
However the following are vital points to be fathomed.
1. He must be a Muslim
2. Not the current prime Minister - CCM will never allow someone to be prime minister for 10 years and then give you another 10 years as president. No one will be handled with 20 years of power.
3. No chance for Makonda, Lukuvi ( all prominent Christian politicians).
4. Mwinyi's son is standing on a chance if he choose not to contest for Zanzibar presidency. (He is acceptable to both Tanganyikans and Zanzibaris.
5. Mama SAMIA is not interested on becoming the President. Count her out.
6. January Makamba is still on the picture with slim chance to win within CCM.
7. In Tanzanian political arena anyone can become President [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hapana. Ni mpole sana anaweza kuyumbishwa na mafisadi na kuturudisha "misri".Majaliwa kassim Majaliwa atafaa zaidi.