Can anyone guess who's the next Tanzania's President?

Umenipoteza kwa kiingilishi hiki! Can you put this mess in Kiswahili please!
 
Hii kutaja majina ya watu ni hatari kwa wote waliotajwa wanaweza kudhoofishwa na safari yao kisiasa kuhujumiwa.
Lakini mleta mada lengo lako ni nini?!
 
It's too early to predict,but for Zanzibar certainly because Dr Sheih serve a second and last term Prof Mbarawa and Dr Mwinyi both have chance to nominated by CCM in Central Committee Dodoma
AFRICA SIJAWAHI ONA PFOFESA AMESHIKA DOLA, JAPO FUFUNUNU KUWA PETER MUTHARIKA WA MALAWI NI PROF.
 
Ukiniuliza baada ya Magufuli naweza kusema
Ccm itakuwa na any of these;
Hussein Mwinyi
William Lukuvi
Majaliwa Kassim
Suilemani Jaffo

Upinzani namuona
Zitto Zuberi Kabwe chini ya mwamvuli wa upinzani
Jaffo hafai...Kavuruga uchaguzi wa serikali za mitaa.

Nadhani atakuwa rais ajaye ni Prof Lipumba
 
I'd like to see how many Tanzanians are foreseers and trend readers!😂
As of the moment, I would wish JPM "for life".... only that the URT Constitution does not accommpdate it!

Leo hii umesainiwa Mktaba wa Kampuni yetu ya Twiga, JPM leo alikuwa amefurahi sana kwenye hafla hiyo, sana yaani!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…