Superman
JF-Expert Member
- Mar 31, 2007
- 5,693
- 1,702
...na kweli, mambo yale yaliyohubiriwa miaka elfu kadhaa yamerudi kwa kasi na kwa uwazi,...
matendo ya ulawiti na usagaji, kubaka watoto wadogo, ngono na mke/mume wa mtu, yamekuwa mambo ya kawaida tu katika jamii...
next; ngono baina ya wanafamilia; kaka na dada yake, baba na bintiye, mama na mwanae, ...kuna wataobisha, lakini tayari yeshaanza kujitokeza haya.
Mkuu, maneno mazito sana hayo. Kuna mifano michache tu ili kupata picha kamili?