Can Super Sports stands without Robert Marawa?

Can Super Sports stands without Robert Marawa?

Manofu

JF-Expert Member
Joined
Nov 3, 2018
Posts
1,317
Reaction score
2,020
Binafsi nafikili ni muda mwafaka wakuachana na hiki kingamzi maana sifikili kama tunakoelekea kitaendelea kuwa kingamzi ninachokifahamu toka kitambo.

In short yule mchambuzi na mtangazaji wa Super sport Robert marawa amefukuzwa kazi na kituo chake baada ya kuonekana kuwatetea wadada wanaofanyiwa vitendo vya unyanyaswaji wa kingono na mabosi wa kituo icho nguli kabisa cha michezo hapa duniani. Marawa amefukuzwa kwa kuandikiwa tu ujumbe wa sms kwenye simu yake.

Sasa wadau wenzangu namie wa Super sports tuamie wapi wakuu maana kiukweli sidhani kama jamaa watapata replacement ya mtangazaji nguli kabisa kama huyu.
 
Yah a good looking man, mechi nyingi amekuwa mtangazaji akiongoza vipindi vya uchambuzi kabla ya mechi kuanza.
Kama ni huyo jamaa basi kweli itakosa mvuto kabisa maana alikuwa na tone yake flani hivi.
 
Super sport haifi.Itabaki kuwa juu kileleni.Tusubiri atakuja mwingine kuoneshabuwezo
 
hao jamaa wana hela sana.. kushuka ngumu... wanaweza kumuajiri yeyote

hao jamaa wanaajiri kina ben mac carty, kina joseph yobo, kina samuel kuffor, dennis amokachi..
 
hao jamaa wana hela sana.. kushuka ngumu... wanaweza kumuajiri yeyote

hao jamaa wanaajiri kina ben mac carty, kina joseph yobo, kina samuel kuffor, dennis amokachi..
Vyovyote vile ila kuziba pengo la yule jamaa ni kazi kweli kweli watapata tabu sana just wait and see.
 
Back
Top Bottom