Manofu
JF-Expert Member
- Nov 3, 2018
- 1,317
- 2,020
Binafsi nafikili ni muda mwafaka wakuachana na hiki kingamzi maana sifikili kama tunakoelekea kitaendelea kuwa kingamzi ninachokifahamu toka kitambo.
In short yule mchambuzi na mtangazaji wa Super sport Robert marawa amefukuzwa kazi na kituo chake baada ya kuonekana kuwatetea wadada wanaofanyiwa vitendo vya unyanyaswaji wa kingono na mabosi wa kituo icho nguli kabisa cha michezo hapa duniani. Marawa amefukuzwa kwa kuandikiwa tu ujumbe wa sms kwenye simu yake.
Sasa wadau wenzangu namie wa Super sports tuamie wapi wakuu maana kiukweli sidhani kama jamaa watapata replacement ya mtangazaji nguli kabisa kama huyu.