jamani ninatamani kumuona mpwa kaizer!Hahaha! Get tugedha ya wikiendi hii itabidi tukaimalizie na ile kazi yetu Zero pub! Mpwa Kaizer yuko veri kooperativu. LOL!
Utapewaje namba zangu pkwenye public? asanteni sana wapwa na mabinamu, naona mnaheshimu privacy< tukikutana bill zote za banta na maji makuuubwa ya kilimanjaro yangu!HAHAHAHA!wapi bwana!halafu nimekutafuta sana nikupe deal la suti NIMESHINDWA KUPATA NAMBA ZAKO!wapwa nimewaomba namba public hawakunipa
jamani ninatamani kumuona mpwa kaizer!
Hahaha! Jumamosi kwenye get tugedha uje na ua jekundu. Nyamayao kashapigwa chini! Mzee wa taska yule.
carmel mshabiki wa simba na man u au???
carmel mshabiki wa simba na man u au???