The really hypocrisy is to vote for Diamond if you know Davido he is the best.
Sito mdrag on crappy group mtu yeyote atakaevote for Diamond kwasabu anaona ni bora.
Ila yule atakaevote tu kwasabu ni mtanzania.
Huu ndio ukweli mkuu, na ndio ninaoukubali, wenzetu wameendelea ktk sekta zote mpaka in love, it may takes you a year chasing African lady.
Yaani tunaishi maisha waliyoishi wenzetu decades ago... Ndomana Yamoto band wamenyimwa tuzo zao wakati wagawaji wenyewe Wake zao na watoto wao wanakesha kuimba nyimbo zao.
Kinacho nisikitisha ni mpaka watanzania tumekuwa kivutio cha watalii, mambo yetu ni yakijinga sana.
Mkuu kwasababu umeamua kujitia upofu na kuukataa ukweli kwa kigezo cha wana haki basi itabidi tu tukubaliane kutokubaliana kwetu
Watz hawa vote hao watu wengine against diamond on only three category ambazo diamond yupo kwasababu wanaamini hao watu ni the best kuliko Diamond
Vipi kuhusu category zingine? Vipi kuhusu tuzo zingine?
Daimond angekuwa nominated BET leo wimbo ungekuwa vote for Wizkid, lakini kwakuwa hayupo hakuna hata atakayepiga kura kule.......... Why?( kwanini unazioeleka likizo akili zako kwenye hili?)
Nikuhakikishie huwajui wazungu linapokuja swala la uzalendo......... Huwajui mkuu
Usione unaenda ulaya au usa ukaoa mzungu ukajidanganya hawana uzawa... Sahau mkuu
Watakuthamini only if they gain from you zaidi ya hapo sahau
Hata umsimamishe messi na rooney useme wapige kura nani bora? Sahau mwingereza kumpigia messi hata kama anajua messi ni bora mara milioni moja ya rooney
China miss china baba yake ni black imekua shida hadi waziri husika anataka kuadabishwa
Kwakuwa mawazo yako sio huru ndio maana unakua na double standard kwa kuona yamoto band haikupata tuzo wakati vigezo unavijua....kura
Kama kura za yamoto hazikutosha basi aliyepata kura ziliotosha ndio kawa mshindi na si nani alikua best kuliko mwingine kama unavyojaribu kutulisha matango pori kuhalalisha ati davido has guality na sio utaifa wa diamond
Ni wanaijeria wenyewe ndio waliwafanya akina davido waonekane bora na muziki wao ukubalike kote afrika kwa kuwasapoti wanamuziki wao hata kama walikuwepo wanamuziki wakali kutoka south afrika lakini walisimama na kutumia wingi wao wakawa wanazoa matunzo kila mwaka leo hii wameteka soko la muziki afrika
Lakini ni sisi watanzania tutaua muziki wetu sababu kuna watu wamekua brain washed kama wewe wanaamini kule ndio kuna quality na huku kwetu na diamond tuna utaifa na mkasahau wanaijeria walifanya utaifa kwanza then wengine wote tukafuata kuamini ni bora
Sasa wewe na wenzako mnao kaa mnajifanya mnaangalia quality badala ya utaifa katika hili kaeni hivyo hivyo msubiri Yamoto band waimbe sana hadi mnaijeria aache kumpigia p square kura aje apigie yamoto bend kama group bora africa
Wenye akili timamu wameisha baini kunatatizo kubwa sana hapa, huenda mwakani Kiba akawa nominated MAMA na Diamond asiwe, unajua kitakachotokea? Team diamond watavote kwa mwanamuziki yeyote atakayechuana na Kiba na watakuja na the same story unayotuaminisha, quality na sio utaifa,......, thats very very stupidity
Am out