Can this stop please! Tunadhalilika mitandaoni kwa kuitwa vilaza, broken English, tunajipendekeza

Can this stop please! Tunadhalilika mitandaoni kwa kuitwa vilaza, broken English, tunajipendekeza

Ieim noit voiting foer dimond, he no good as davido, davido make eus famouse through my namber onei reimix, davido he best up music, I'm voiting fork davudo

I am me also voting for Davido.He is so gooder! He make us famous not mountain Kilimanjaro.
 
I am me also voting for Davido.He is so gooder! He make us famous not mountain Kilimanjaro.

Thenks you, voiting for daivdio, he maike us famoues na my numbera oine remiex, he nois songs good, aweds him
 
Kweli Tanzanians we're still fools from the toe up to the middle finger if not head.
Yaani loosing time voting for personality not quality !, can you mkuu ?

There after some pack of words will be coming from Nigerians claiming our inept artists has been awarded while they didn't deserve it ?
Yes they'll be speaking the truth coz we prefer mostly voting for nationality, and then tutaanza kuwatukana as much our data bundles will support.

If things will be running like this, then Mr Manny Paciao will having no U.S.A supporters like those Sylivester stallone (RAMBO), Michael Tyson etc, on his battle between him and Mayweather.
But since they're not fools like Tanzanians they'll going to support the reality which is QUALITY and not NATIONALITY (personality)

We all few, know that there’s background process aimed to kill Nigeria music, but our Tanzania artists copy their styles then what ?
Don’t eat banana just because it grow in your homeland, while you know pineapple is much n far better than it.

snipa

Naheshimu mawazo yako. Ingawaje unajaribu kuyajengea mifano mfu ya boxing na ya upigaji kura

Tutakua wapumbavu pia kuamini watanzania wanavote MAMa for Davido kwasababu he has the so you called quality
Tutakua tunataka kujitia upofu hapa tuamini ati Team kiba and Diamond has nothing to do with this
Tutakua nisawa na vichaa tuaokataa watu wanavote for Davido sababu Diamond akipata tuzo team kiba watajisikia wanyonge na kuzidiwa

Kama una akili timamu mbona hawa hawashobokei tuzo za BET wakahamsishana kuvote kama wanvyofanya kwenye category tatu za MAMA? tujue wanajua kuchagua quality na wana shobokea MAMA kwenye category alizochaguliwa Diamond?

Unafiki ni mbaya sana na hauwezi kuuhalalisha kwa hoja zako
Ni haki yao kuchagua watakacho lakini katika jicho makini kuna walakini kama watz
Ni sawa na mchina kumpigia kura mfaransa kwenye miss world na kumuacha miss china sababu anachagua quality na sio nationality

Just think loud
 
Last edited by a moderator:

Mkuu me i don't care about those murmuring insane teams, whoever Diamond or Alikiba since they've got nothing to compensate that's why loosing time caring about which hand Diamond use wipe Zari ass, i mean private issues.

We all know that after Music and Football ranking, Boxing is the second one.
On the match between Manny and Mayweather both of them were being representing their Nationality and yet some from U.S.A bonded to Manny and Vice versa because of quality.

This is like voting for Quick Rocka just because he belongs to my origin and yet there is Jux on the launch box who i know is the best and my baby Mama always dedicate to me his songs.
 
Kutokujali kwako team kiba au team diamond hakuondoi ukweli wa effect ya hizo team katika hili( wana vote kwa Davido ili Diamond asishinde) huu ndio ukweli ama huu jui ama unaupuuzia tu lakini utabaki hivyo
Nakuuliza ina maana hawazioni tuzo za BET?
Na huko MAMA Hawaoni category zingine zaidi ya anazo gombea Diamond? ( na hakika huwezi jibu hili kwa hoja)
Labda niseme kama you dont care about this team then you dont know what is going............ Sio kosa lako

Narudia tena huwezi kulinganisha mpambano wa may na pac sababu ushindi wao unatokana na ujuzi wao ulingoni kwa siku husika
Tuzo zinatokana mtazamo na kura zako,
Totally two deferent things
Hata pac angepata sapoti ya dunia nzima akizidiwa maarifa atapigwa tu na yule ambaye hana sapoti hata ya mtu mmoja
Hata england ikicheza na argentina ndani ya wembly na ikawa na sapota elf60 brazili 0 bado england ikizidiwa maarifa itafungwa tu

Lakini watu watakushangaa unavote miss venazuela unamuacha miss tz kisa akishinda mitaani tutapata shida
 
The really hypocrisy is to vote for Diamond if you know Davido he is the best.
Sito mdrag on crappy group mtu yeyote atakaevote for Diamond kwasabu anaona ni bora.
Ila yule atakaevote tu kwasabu ni mtanzania.

Huu ndio ukweli mkuu, na ndio ninaoukubali, wenzetu wameendelea ktk sekta zote mpaka in love, it may takes you a year chasing African lady.
Yaani tunaishi maisha waliyoishi wenzetu decades ago... Ndomana Yamoto band wamenyimwa tuzo zao wakati wagawaji wenyewe Wake zao na watoto wao wanakesha kuimba nyimbo zao.
Kinacho nisikitisha ni mpaka watanzania tumekuwa kivutio cha watalii, mambo yetu ni yakijinga sana.
 
She is shtupid

I'll be glad someday if you'll maintain your title for your ability and not your stupidity.
It will cost you centuries to make snipa hungry coz i know how to live with id1ots.
 
The really hypocrisy is to vote for Diamond if you know Davido he is the best.
Sito mdrag on crappy group mtu yeyote atakaevote for Diamond kwasabu anaona ni bora.
Ila yule atakaevote tu kwasabu ni mtanzania.

Huu ndio ukweli mkuu, na ndio ninaoukubali, wenzetu wameendelea ktk sekta zote mpaka in love, it may takes you a year chasing African lady.
Yaani tunaishi maisha waliyoishi wenzetu decades ago... Ndomana Yamoto band wamenyimwa tuzo zao wakati wagawaji wenyewe Wake zao na watoto wao wanakesha kuimba nyimbo zao.
Kinacho nisikitisha ni mpaka watanzania tumekuwa kivutio cha watalii, mambo yetu ni yakijinga sana.

Mkuu kwasababu umeamua kujitia upofu na kuukataa ukweli kwa kigezo cha wana haki basi itabidi tu tukubaliane kutokubaliana kwetu

Watz hawa vote hao watu wengine against diamond on only three category ambazo diamond yupo kwasababu wanaamini hao watu ni the best kuliko Diamond
Vipi kuhusu category zingine? Vipi kuhusu tuzo zingine?
Daimond angekuwa nominated BET leo wimbo ungekuwa vote for Wizkid, lakini kwakuwa hayupo hakuna hata atakayepiga kura kule.......... Why?( kwanini unazioeleka likizo akili zako kwenye hili?)

Nikuhakikishie huwajui wazungu linapokuja swala la uzalendo......... Huwajui mkuu
Usione unaenda ulaya au usa ukaoa mzungu ukajidanganya hawana uzawa... Sahau mkuu
Watakuthamini only if they gain from you zaidi ya hapo sahau
Hata umsimamishe messi na rooney useme wapige kura nani bora? Sahau mwingereza kumpigia messi hata kama anajua messi ni bora mara milioni moja ya rooney
China miss china baba yake ni black imekua shida hadi waziri husika anataka kuadabishwa

Kwakuwa mawazo yako sio huru ndio maana unakua na double standard kwa kuona yamoto band haikupata tuzo wakati vigezo unavijua....kura
Kama kura za yamoto hazikutosha basi aliyepata kura ziliotosha ndio kawa mshindi na si nani alikua best kuliko mwingine kama unavyojaribu kutulisha matango pori kuhalalisha ati davido has guality na sio utaifa wa diamond

Ni wanaijeria wenyewe ndio waliwafanya akina davido waonekane bora na muziki wao ukubalike kote afrika kwa kuwasapoti wanamuziki wao hata kama walikuwepo wanamuziki wakali kutoka south afrika lakini walisimama na kutumia wingi wao wakawa wanazoa matunzo kila mwaka leo hii wameteka soko la muziki afrika

Lakini ni sisi watanzania tutaua muziki wetu sababu kuna watu wamekua brain washed kama wewe wanaamini kule ndio kuna quality na huku kwetu na diamond tuna utaifa na mkasahau wanaijeria walifanya utaifa kwanza then wengine wote tukafuata kuamini ni bora

Sasa wewe na wenzako mnao kaa mnajifanya mnaangalia quality badala ya utaifa katika hili kaeni hivyo hivyo msubiri Yamoto band waimbe sana hadi mnaijeria aache kumpigia p square kura aje apigie yamoto bend kama group bora africa

Wenye akili timamu wameisha baini kunatatizo kubwa sana hapa, huenda mwakani Kiba akawa nominated MAMA na Diamond asiwe, unajua kitakachotokea? Team diamond watavote kwa mwanamuziki yeyote atakayechuana na Kiba na watakuja na the same story unayotuaminisha, quality na sio utaifa,......, thats very very stupidity
Am out
 
Paul S.S
Mi kuniwekea swala la teams nimeshakataa since i know how they live without obeying Netiquette(s), wanatumia sana hisia na mahaba kuliko akili, Nimeshasema pale juu if you know well how to read you may see that.

Na unafiki wakweli nimeshasema nikuvote for Diamond wakati kutwa kucha unapiga nyimbo za Davido kwenye chumba/nyumba yako. Hii mantiki haiwezi kubadilika, suala la wazungu kujali utaifa wao mbona nimekuwekea hapo mifano iliyo hai, mana wakina Rambo ni wazungu wale na bado wakawa upande wa mfilipino, yet there's fellow country side Mr TmT.

Pointi yangu umeielewa vizuri tu sema you just trying to make us believe that God made you black so your eyes can't see.

Over
 
Last edited by a moderator:
Paul S.S nimekuelewa vizuri sana mkuu hoja zako

snipa mkuu tufike mahali tukubali hakuna mtu atakuja kututengenezea muziki wetu ukubalike kama tutaendelea kuamini Davido ni bora sababu nyimbo zinapigwa kila kona Africa
Tunayo nafasi ya kuufanya muziki wetu uwe na nguvu pia kwa kupitia vitu kama hivi tuzo
 
Mkuu lengo langu kubwa SIO kuwaaminisha watu wampigie kula Davido au kuwaaminisha watu kwamba Davido ni the best, HAPANA

Ila tu ninachokishangaa ni watu kumpigia kura Diamond eti kwasabu ni Mtanzania basi, wakati mtu anaona kwamba Davido ni the best.

Piga kura kama unaona flani ni the best zaidi ya mwenzie ila sio kwasabu ni raia wa nchi fulani.

Tusiwe kama wale wajinga wajinga "teams" ambao wamekuwa side blended bila kujari ubora wamtu, hata Diamond akiweka pcha ya utupu watashangilia tu kwasabu ni mijinga jinga flani isiyojielewa.

Sorry for bad grammatical swahili.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom