Dah! Nimeingia social media, Wanigeria wanatutusi sana na kutuita kila jina kisa Diamond. Kwanza wanasema tunajipendekeza sana kwao.
Mfano mzuri Mondi, coz kila collabo lazima akafanye na Wanigeria, aibu hizi... Yaani tumejiwekea kwamba hatuwezi toka mpaka tushirikishe Wanigeria... Nao wanatutusi, kwamba hatujui lugha ya Kiingereza, sijui wa mwisho kwa kila kitu, wanatutukana tunavyoshoboka kwenye social media pages za Davido.
Jamani, let's stop this nonsense, kama mtu hataki ku vote kwa Mondi, basi bora mtu asi vote kabisa.