Roulette
JF-Expert Member
- Dec 15, 2010
- 5,568
- 5,386
What's different with this valentine? mbona zote hua same kwangu? lolthis is really a bad valentine day.....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
What's different with this valentine? mbona zote hua same kwangu? lolthis is really a bad valentine day.....
Nimekutana na mkaka online JF, tukaflirt sana PM huku tukipeana fake info about each other kwa muda kama wa miezi 8 hivi.
Alinidanganya ameoa nami nikamdanganya kuwa nimeolewa. alinidanganya ameajiriwa kumbe kajiajiri nami nikamdanganya kuwa nina kazi tofauti na ninayo ifanya, kifupi ilikuwa full usanii and we enjoyed it.
Recently, 3 weeks ago, we decided to meet in person, and have fun (sex included; najua kuhusu morals, so sihitaji ushauri kwenye hiyo angle); we had real good tym by real l mean real, (at least on my side) and l think l am starting to fall in love. He also says he feel the same way. Tuliongea mengi, including kuendeleza this relationship from casual thing to uhusiano wa boyfriend girlfriend; sasa swali langu can this real work?
Napata mashaka kwa sababu hizi hapa chini.
1. Tunakaa mbali mbali
2. Najua he is a flirt kama mimi nilivyo
3. Napenda vibaya na ndiyo maana najizuia kupenda
Labda kuna watu humu wamekuwa na similar cases, pls nishaurini/tushaurini.
This is from a friend, anaogopa akiileta mwenyewe people might starting guessing!
Hehehehehe 🙂🙂 Sioni kwanini msiendelee na mapenzi yenu. Hata mapenzi yaliyoanzia online huweza kushamiri. Kumbe nawe huwezi kupenda 50/50 eeh! 🙂🙂. Kila la heri 🙂🙂