she is very in in counseling, generally si broken heart pekee.... she is talented and professionally trained, i appreciate her talents
Thanx Babu Acid...... mh unanipamba hadi naionea aibu screen yangu bana..... we are trying to learn. But I really appreciate your appreciation. Thanx Man.
BTW---- Mh we Baba Enock.....kwa nini kututega namna hii??
Jibu la swali lako ni ndio na hapana
Ndio: Its possible to break the broken heart again iwapo mwenye moyo huo hayuko makini kwa
1. Kuingia kwenye mahusiano mapya (baada ya kuvinjiwa moyo wake) pasipo kuwa makini na kuchunguza na kumjua vema huyo mdau mwingine anayetaka kumpa huo moyo wenye viraka delicate. Na hii huwa inatokea mara nyingi sana (even me nilishawahiumizwa mara mbili mfululizo- before coming to my senses!!).
......Mara nyingi kama mtu ameingia kwenye mahusiano mapema kwa ajili tu ya kuziba pengo kwa aliyemuuliza, anaishia kuumia iwapo the second man after heartbreaker atatake advantage, atampenda out of pity and not true love.
2. No kwa maana ya huwezivunja moyo uliokwisha vunjika iwapo mwenye moyo huo atakuwa makini kuchambua mahusiano anayoingia baada ya kuumizwa. Mara nyingi mwenye broken heart huwa anakuwa mwoga kupenda tena........so hata akiamua kuingia kwenye mahusiano mapya kama yuko makini na very causious lasima ataingia kwa kubeep kwanza (haweziingia kichwa na miguu - head over heels) kwenye mahusiano mapya. So atauvisha uke moyo shield ambayo hata mpenzi mpya akiamua kuuumiza hatafanikiwa kufikia kile kiwango cha first accidents kwani kuna ngao- na mwenye moyo atagundua mapema kabla damage kubwa haijafanyika .............so maumivu ya pili hayatafanana na ya kwanza kwa uchungu.
But remember: You grow emotionaly every time your heart break but that make you use your mind and think carefully before giving your heart to someone
But kama amempata heartbreaker mzuri, basi ataweza fanya hivyo but after long time.