WiseLady
JF-Expert Member
- Jan 22, 2010
- 3,268
- 531
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
here i am,,,mcng u
Weupe nawapenda, lakini weusi ni dawa ya moyo........mama Bigirita....en'route to Dar.
Sasa wewe unaweza kutengeneza huu? unaweza kuchonga huu ufunguo alioondoka nao Asprin?
Unammisi huoy hatibreka? Hebu njoo kwangu dawa ya moyo!
Umeacha kukagua?
jst pick up my call....!now only...here i am,,,mcng u
WiseLady unaweza kuchangia kuhusu "mioyo mivunjifu" hapa jumvini tafadhali?
Nakuona hapo chini "unapiga chabo"
she is very in in counseling, generally si broken heart pekee.... she is talented and professionally trained, i appreciate her talents
But kama amempata heartbreaker mzuri, basi ataweza fanya hivyo but after long time.
Thanx MJ1 for the staff....hivi kuna hatbreaka mzuri na mbaya?
Its possible. Tanzanians are good example. Life is tough to all low income earners in Tanzania but stil life is getting tougher and tougher. Is like breaking the already broken heart.
BAbu Asprin kwenye hii thread..........nadauti ile thread yako ulioitoa mwaka mpya...............
Ndio dada nimeacha ....loh sijambo mpenzi habari ya kwako?Hala we MJ1 mambo ya kusoma between lines and post uache bwana aaghhhh
BAbu Asprin kwenye hii thread..........nadauti ile thread yako ulioitoa mwaka mpya...............
Ya kwako ya kwanza kuirusha mwaka huu............. shikamoo BabuHebu nikumbushe sredi ipi...babu akishapiga valuu, netiweki ya memory inakata!
Ya kwako ya kwanza kuirusha mwaka huu............. shikamoo Babu