Dena Amsi
R I P
- Aug 17, 2010
- 13,080
- 4,273
Naheshimu michango yenu:
Sasa ni kitu gani mtu aliyeumizwa (broken-heart) anastahili kufanya ili aziumizwe tena?
Afanye yale mwenzake anataka afanye basi. Na ajue udhaifu wake uko wapi na kwanini???
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naheshimu michango yenu:
Sasa ni kitu gani mtu aliyeumizwa (broken-heart) anastahili kufanya ili aziumizwe tena?
Asubiri amepona kabisa moyo wake ndio aingie kwenye mahusiano mengine au atafute mtu wa kumpoza akiwa fully aware hata fall in love (rebound relationship) ... Kaazi kwelikweli
Baba Enock anapenda kufahamu kama inawezekana "kuvunja moyo ulokwisha vunjika"?
Hili swali alilipata katika pitapita zake mitaa ya Mbagala akiwa na wadau...
Naomba kuwasilisha...
Kweli kusubiri ni very painful lakini nafikiri ni bora kusubiri kuliko kuwa broken hearted into tiny pieces. na pia unaweza kuwa na mtu anakufukuzia lakini humfeel basi unaweza kumfanya akawa rebound .kwani BabaEnock huajwahi fukuzia demu lakini hataki hata kukuona, lakini mara ghafla anakukubali basi si ajabu anakuwa amepatwa na hayo masaibuKristin,
Kusubiri can be very painful experience kwani kila mtu anahitaji to be loved!
Kuwa fully aware ni vigumu sana kwani mapenzi yanatawaliwa na hisia za kwanza - kinachofuatia ni uknown!
Baba Enock anapenda kufahamu kama inawezekana "kuvunja moyo ulokwisha vunjika"?
Hili swali alilipata katika pitapita zake mitaa ya Mbagala akiwa na wadau...
Naomba kuwasilisha...
inategemea sana ''how minute'' are the boken particles.......!in real life inategemea aliyevunjwa moyo kavunjwa kwa kiasi gani.maanake kuna level fulani ya kuvunjwa moyo mtu anakuwa SUGU.kwamba she no feel anything
i hope MJ1 will help us on this... she is a good counselor
inategemea sana ''how minute'' are the boken particles.......!in real life inategemea aliyevunjwa moyo kavunjwa kwa kiasi gani.maanake kuna level fulani ya kuvunjwa moyo mtu anakuwa SUGU.kwamba she no feel anything
Inawezekana kabisa. Mtu mmoja anakuwa ameuvunja vipande viwili, lakini wakati bado unatafuta the right supaglu to mend it anakuja mwingine anavunjilia mbali tena vile vipande vilivyoshavunjwa!
Baba Enock wamekuvunja? Pole
Naheshimu michango yenu:
Sasa ni kitu gani mtu aliyeumizwa (broken-heart) anastahili kufanya ili aziumizwe tena?
Skulimeti wawezaje kuvunja kilichovunjika tayari?
hapo utakuwa unavunja vipande vya moyo, siyo moyo....which is not too bad!
mkuu wangu BE,Teamo,
Hii level ya "no feel anything" si ndiyo mauti au? Maana kwenye Tenzi za Rohoni ndiyo tunaambiwa "..across the bridge there will be no sorrow, no pain", lakini as long as upo hai sitegemei itafikia level whereby you feel nothing - that is when:: "being loved, cared for..., is equal to being neglected, hated, abused..."
Skulimeti,
Huku kuvunjwa nadhani uwa wanatumia hili neno "synonimously" na kuvunjika kwa kioo! Nadhani ki-matendo ni hali ambayo mtu aliyekuwa kwenye "mahusiano" anapohitilafiana na mwenzi wake. Sasa hii hitilafu inaweza kuwa imetokana na machukizo makubwa kiasi kwamba hawa watu wawili/au mmoja wao huisi kama dunia imefika mwisho! Huwa "anavunjika moyo"
Baba Enock anapenda kufahamu kama inawezekana "kuvunja moyo ulokwisha vunjika"?
Hili swali alilipata katika pitapita zake mitaa ya Mbagala akiwa na wadau...
Naomba kuwasilisha...
Darlingtone,
Sijavunjwa, ila nimesoma katika kile kitabu chetu cha "The 8th Habit" kwamba ili utoke kwenye "effectiveness" na kwenda kwenye"greatness" ni lazima "utafuta SAUTI yako na uwasaidie wengine watafute SAUTI zao" - Naamini wapo wengi sana ambao wamevunja, na kwa kutumia mjadala kama huu tunaweza kuwasaidi "kutafuta sauti zao"!
Kuna mioyo mingine inavunjwa into tiny pieces...actually beyond repair....its almost impossible to turn things around.....
Ndo ile mtu anakuwa kichaa daima dawamu.