Maty
JF-Expert Member
- Aug 24, 2010
- 2,167
- 727
mh!!!!!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
dx/(x2 +- a2)1/2 = ln [x + (x2 +- a2)1/2] + COrait..... tryn to integrate the two kwa makini zaidi........
wewe si mutu mweupe? babu kidonge cha kutuliza maumivu anapenda mtu mweupe.mh!!!!!!
Natamani nimjue huyo shuga dadi aliyeuvunja moyo wako...
wewe si mutu mweupe? babu kidonge cha kutuliza maumivu anapenda mtu mweupe.
Moyo uliovunjika kiasi kwamba hata ukiupeleka kwenye gereji ya mchina kuutengeneza inakuwa ngumu sana.
Usipovunjika, we fundi moyo utafanya kazi gani?
Orait..... tryn to integrate the two kwa makini zaidi........
dx/(x2 +- a2)1/2 = ln [x + (x2 +- a2)1/2] + C
Mi naona ufanye differentiation:
The Quotient Rule:
Given a function y = a(x) / b(x):
dy/dx = ?????
dx/(x2 +- a2)1/2 = ln [x + (x2 +- a2)1/2] + C
Mi naona ufanye differentiation:
The Quotient Rule:
Given a function y = a(x) / b(x):
dy/dx = ?????
Mmmmm possible mkuu, manake ndo unakuta kuna jamaa amekuumiza hadi ukajuta kupenda, halafu unakutana na mwingine unadhani labda huyu ni afadhali, ndo anakutenda mpaka unajuta kuzaliwa. Mmmm eti WANAUME WOTE BABA YAO MMOJA. Huu msemo sijui ulitoka wapi.
Sasa wewe unaweza kutengeneza huu? unaweza kuchonga huu ufunguo alioondoka nao Asprin?Unasahau kuhusu uwezo wa mafundi kufanya routine maintenance?
nina funguo za moyo wake uliovunjwa na Kimey.Umvunje moyo?
thank you thank you!!:A S thumbs_up:Weupe nawapenda, lakini weusi ni dawa ya moyo........mama Bigirita....en'route to Dar.
kaaz kwel kwel.....!
Sasa wewe unaweza kutengeneza huu? unaweza kuchonga huu ufunguo alioondoka nao Asprin?