Can you date a guy without asking him for Money?

Can you date a guy without asking him for Money?

Issue sio uchoyo, issue hapa ni namna ya ninyi mnavyotuomba hela, ila kuna rafiki yangu mnaijeria anakuambia kwamba, kama hana pesa mboo haisimami ***** [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]
Safi kabisa na wanaume wengine nao wajifunze hilo. Mtu huna pesa hiyo nanii inapata wapi nguvu za kusimama.
 
Safi kabisa na wanaume wengine nao wajifunze hilo. Mtu huna pesa hiyo nanii inapata wapi nguvu za kusimama.
Ila boy wako akikuambia leo hana pesa muwage mnawaelewa jamani, sio kila mwanaume anakuwa na pesa ya kukupa wewe mpenzi/mke wake tu.
 
pesa na mimi ni Mawingu na Ardhi yani nikiona mdada anapenda sana pesa huwa namwambia direct.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Hornet kaingia mule mulee
Jaman mi wangu Akiona mfano natumia au nimenunua vitu halaf hajanipa yeye pesa anakasirika inakuwa ugomvi na kusema umetoa wapi pesa ?mpaka namuambiaga jamani hata mi nna vihela vyangu
 
[SUP]Kuna kichekesho kimoja tik tok jamaa anamtongoza msichna [/SUP]
[SUP]Msichana anamjibu "Baba kwani huna m pesa yangu nisikupende kwani umerogwa hebu nenda kwenye iyo kibanda hapo nje ufanye muamala"[/SUP]
 
Hornet kaingia mule mulee
Jaman mi wangu Akiona mfano natumia au nimenunua vitu halaf hajanipa yeye pesa anakasirika inakuwa ugomvi na kusema umetoa wapi pesa ?mpaka namuambiaga jamani hata mi nna vihela vyangu
Hao ndio wanaume sasa sio hawa wenye stress wanaoishia kututukana kama sie ndio tumewanyima akili[emoji1787][emoji1787]
 
Ah Ladyred habishanagi sana halafu mara nyingi yuko serious. Tuttyfruity hana akili nyie jamani. [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Ule uzi wa kuoa wanawake mabikira umesahau alivyoenda nao sambamba halafu kila comment anayotoa afadhali ya iliyopita. Haki ile siku nilicheka hadi niligaragara jamani. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119]
 
Back
Top Bottom