Can you date a guy without asking him for Money?

I definitely can date a guy without asking for money. There is something special about a woman who genuinely dates for love than money [emoji3531]

Kumuomba mwanaume hela anae kutongoza ama ambae mpo kwenye mahusiano KWA MTAZAMO WANGU mie Binti1 :
Inaondoa heshima mwanamke kwasabu thamani yako unaifananisha na pesa. Sasa mwanaume atakupa kiasi gani kufikia thamani yako?

Mwisho wa siku unaonekana rahisi....Imagine kupewa 20k,50k, 100k a woman is way worth than that!!
Ku date kwa hela ina maana siku mwanaume akiishiwa au akiyumba hatamdate...so hapo anakua hana upendo wa kweli!!

Nadhani mwanaume pia atakua comfortable kumheshimu mwanamke asiyeomba hela .Na ikitokea ameomba ni kwasababu genuine labda amekwama kwenye jambo na anahitaji support.

Sasa mwanamke anaepiga mzinga kila siku anaweza kupata na shida akakosa msaada mkubwa kwasababu siku zote anaomba hela zisizo na msingi.

Na sijui nani ametuharibu wadada wa siku hizi.Kigezo kikubwa cha ku date mwanaume lazima awe na hela. Matokeo yake unajikuta unakosa upendo wa kweli.

Tusio omba hela tutaonekana washamba na tumechelewa mjini [emoji1][emoji1]
 

Another endangered specie
 
Umemaliza[emoji122][emoji122][emoji122]
Kuomba hela ni kama unanunuliwa hivi wakati hakuna pesa yoyote inayoweza kulingana na thamani yako.
Haipo kabisa.
 
Ila muda huo usiniambie habari za sex..
Nitakuambia hiyo hela unayotaka kunipa ikusanye ukapeleke mahari nyumbani uje kunichukua.
Dah niliposoma comment yako ya kwanza apo yan nimesisimka nikajisemea mwenyewe huyu ndo mwanamke sasa, ila hii comment imenimaliza nguvu kabisa. Kwann unabania papuchi😢😢
 
Ha ha ha umejua kunichekesha
 
Mi nikajua mmeisha, kumbe bado mpo?
 
Don’t cheapen yourself by begging for money from your guy!
 
Dating without asking for money?[emoji134][emoji134][emoji134][emoji134] what a night mare!!!!
Why asking for a money jamani, If u have just started dating, refrain from asking him for money, unless u are in a serious fix and he is the only one u can ask for financial assistance. Even then, make it clear that u intend to pay him back, lasivyo utachokwa sana.
 
Dah kuna wanaume wanabahati just imagine kuna baharia anamiliki mtoto kama huyu mwenye hekima kama hizi dah, wewe dada kama bado hujaingia kwenye serious relationship Mungu akusaidie upate mume bora mwenye positive mind kama ulokuepo nayo, wote tuseme “AMEN”
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…