Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Absolutely [emoji28]Endangered species...
HahahaSasa ni date au penpal?
Hivi unahabari nakupenda sana we dada!Binafsi yangu siwezi kuomba hela kwa mwanaume/mpenzi hata niwe na shida vipi.
Mwanaume anayetegemea nitamuomba hela,atasubiri Sana..
Labda anipe tu mwenyewe.
[emoji28][emoji28][emoji28] Kwa kweli ni mwanadada wa kipekeeHivi unahabari nakupenda sana we dada!
I definitely can date a guy without asking for money. There is something special about a woman who genuinely dates for love than money [emoji3531]
Kumuomba mwanaume hela anae kutongoza ama ambae mpo kwenye mahusiano KWA MTAZAMO WANGU mie Binti1 :
Inaondoa heshima mwanamke kwasabu thamani yako unaifananisha na pesa. Sasa mwanaume atakupa kiasi gani kufikia thamani yako?
Mwisho wa siku unaonekana rahisi....Imagine kupewa 20k,50k, 100k a woman is way worth than that!!
Ku date kwa hela ina maana siku mwanaume akiishiwa au akiyumba hatamdate...so hapo anakua hana upendo wa kweli!!
Nadhani mwanaume pia atakua comfortable kumheshimu mwanamke asiyeomba hela .Na ikitokea ameomba ni kwasababu genuine labda amekwama kwenye jambo na anahitaji support.
Sasa mwanamke anaepiga mzinga kila siku anaweza kupata na shida akakosa msaada mkubwa kwasababu siku zote anaomba hela zisizo na msingi.
Na sijui nani ametuharibu wadada wa siku hizi.Kigezo kikubwa cha ku date mwanaume lazima awe na hela. Matokeo yake unajikuta unakosa upendo wa kweli.
Tusio omba hela tutaonekana washamba na tumechelewa mjini [emoji1][emoji1]
Umemaliza[emoji122][emoji122][emoji122]I definitely can date a guy without asking for money. There is something special about a woman who genuinely dates for love than money [emoji3531]
Kumuomba mwanaume hela anae kutongoza ama ambae mpo kwenye mahusiano KWA MTAZAMO WANGU mie Binti1 :
Inaondoa heshima mwanamke kwasabu thamani yako unaifananisha na pesa. Sasa mwanaume atakupa kiasi gani kufikia thamani yako?
Mwisho wa siku unaonekana rahisi....Imagine kupewa 20k,50k, 100k a woman is way worth than that!!
Ku date kwa hela ina maana siku mwanaume akiishiwa au akiyumba hatamdate...so hapo anakua hana upendo wa kweli!!
Nadhani mwanaume pia atakua comfortable kumheshimu mwanamke asiyeomba hela .Na ikitokea ameomba ni kwasababu genuine labda amekwama kwenye jambo na anahitaji support.
Sasa mwanamke anaepiga mzinga kila siku anaweza kupata na shida akakosa msaada mkubwa kwasababu siku zote anaomba hela zisizo na msingi.
Na sijui nani ametuharibu wadada wa siku hizi.Kigezo kikubwa cha ku date mwanaume lazima awe na hela. Matokeo yake unajikuta unakosa upendo wa kweli.
Tusio omba hela tutaonekana washamba na tumechelewa mjini [emoji1][emoji1]
You are a woman after my own heart. Una hekima [emoji3531]Binafsi yangu siwezi kuomba hela kwa mwanaume/mpenzi hata niwe na shida vipi.
Mwanaume anayetegemea nitamuomba hela,atasubiri Sana..
Labda anipe tu mwenyewe.
Nimekupenda[emoji3590]
Dah niliposoma comment yako ya kwanza apo yan nimesisimka nikajisemea mwenyewe huyu ndo mwanamke sasa, ila hii comment imenimaliza nguvu kabisa. Kwann unabania papuchi😢😢Ila muda huo usiniambie habari za sex..
Nitakuambia hiyo hela unayotaka kunipa ikusanye ukapeleke mahari nyumbani uje kunichukua.
Keni boi deti wisi gelo withouti askingi seksi?
Hivi unahabari mkuu ikiwa hivyo sisi wenye sura ngumu papuchi utabaki kuwa msamiati wa kinadharia!..
Mwishowe tuje tuanze kubishana "hivi papuchi zipo au hazipo"[emoji23]
Yawache tu mambo yawe vivyohivyo tunapata msaada sana sisi wenye sura za zinjathropus..[emoji12]
Mi nikajua mmeisha, kumbe bado mpo?I definitely can date a guy without asking for money. There is something special about a woman who genuinely dates for love than money [emoji3531]
Kumuomba mwanaume hela anae kutongoza ama ambae mpo kwenye mahusiano KWA MTAZAMO WANGU mie Binti1 :
Inaondoa heshima mwanamke kwasabu thamani yako unaifananisha na pesa. Sasa mwanaume atakupa kiasi gani kufikia thamani yako?
Mwisho wa siku unaonekana rahisi....Imagine kupewa 20k,50k, 100k a woman is way worth than that!!
Ku date kwa hela ina maana siku mwanaume akiishiwa au akiyumba hatamdate...so hapo anakua hana upendo wa kweli!!
Nadhani mwanaume pia atakua comfortable kumheshimu mwanamke asiyeomba hela .Na ikitokea ameomba ni kwasababu genuine labda amekwama kwenye jambo na anahitaji support.
Sasa mwanamke anaepiga mzinga kila siku anaweza kupata na shida akakosa msaada mkubwa kwasababu siku zote anaomba hela zisizo na msingi.
Na sijui nani ametuharibu wadada wa siku hizi.Kigezo kikubwa cha ku date mwanaume lazima awe na hela. Matokeo yake unajikuta unakosa upendo wa kweli.
Tusio omba hela tutaonekana washamba na tumechelewa mjini [emoji1][emoji1]
Don’t cheapen yourself by begging for money from your guy!Can you date a guy without asking him for money? Most girls will be laughing at this question,but am sure the guys would really want to know.
As long as I can remember and as many relationships I can remember, the ladies always ask for money.It might not be direct because ladies are smart.
They might not ask you directly but by the time you realize it, you have given them 100k.
I am not sure most ladies can do without asking their guys for money. It's in the blood, you are their helper the moment you ask them out. You just have to provide for anything they want because they are now your responsibility.
Have you been in a relationship where all the girl knows is to ask you for this or that, whenever they see anything then they want it.
Sometimes I would say its the guy's fault because at first some guys when they approach a girl for the first time, they approach from the angle that they have money, that they can provide for their every need.
So when the guys approach them this way, what do you expect from the girls. Let's discuss this. What's your opinion?
Why asking for a money jamani, If u have just started dating, refrain from asking him for money, unless u are in a serious fix and he is the only one u can ask for financial assistance. Even then, make it clear that u intend to pay him back, lasivyo utachokwa sana.Dating without asking for money?[emoji134][emoji134][emoji134][emoji134] what a night mare!!!!
Dah kuna wanaume wanabahati just imagine kuna baharia anamiliki mtoto kama huyu mwenye hekima kama hizi dah, wewe dada kama bado hujaingia kwenye serious relationship Mungu akusaidie upate mume bora mwenye positive mind kama ulokuepo nayo, wote tuseme “AMEN”I definitely can date a guy without asking for money. There is something special about a woman who genuinely dates for love than money [emoji3531]
Kumuomba mwanaume hela anae kutongoza ama ambae mpo kwenye mahusiano KWA MTAZAMO WANGU mie Binti1 :
Inaondoa heshima mwanamke kwasabu thamani yako unaifananisha na pesa. Sasa mwanaume atakupa kiasi gani kufikia thamani yako?
Mwisho wa siku unaonekana rahisi....Imagine kupewa 20k,50k, 100k a woman is way worth than that!!
Ku date kwa hela ina maana siku mwanaume akiishiwa au akiyumba hatamdate...so hapo anakua hana upendo wa kweli!!
Nadhani mwanaume pia atakua comfortable kumheshimu mwanamke asiyeomba hela .Na ikitokea ameomba ni kwasababu genuine labda amekwama kwenye jambo na anahitaji support.
Sasa mwanamke anaepiga mzinga kila siku anaweza kupata na shida akakosa msaada mkubwa kwasababu siku zote anaomba hela zisizo na msingi.
Na sijui nani ametuharibu wadada wa siku hizi.Kigezo kikubwa cha ku date mwanaume lazima awe na hela. Matokeo yake unajikuta unakosa upendo wa kweli.
Tusio omba hela tutaonekana washamba na tumechelewa mjini [emoji1][emoji1]
Ndio ipo hivyo mkuuDah niliposoma comment yako ya kwanza apo yan nimesisimka nikajisemea mwenyewe huyu ndo mwanamke sasa, ila hii comment imenimaliza nguvu kabisa. Kwann unabania papuchi[emoji22][emoji22]