Na kesho tunakula ban..ooooh sorryyy tumepitiwa tukadhan tupo kule chinii
We Hornet twende zetu kule down
Ntagie kwenye Hiyo comment siioniHannah kaumbua alikuwa anacopy vizungu hatoi credit
Hannah mtu mbayaaa
Na kesho tunakula ban..
mods Siku hizi wanapembua comments kama mchele wa ukweni
Post zake za juu kafuta.Ukicopy uwe unatoa credit
π π πaibuuuuu ππππ
Cc @caniberra alimuambia aache jamani kuongea kidhungu
Ngoja tukaangaliewasitupe ban wazihamishie kule chini
Twende zetu ukute the boss kafanya mambo
Nimekumiss..Mdogo angu nadhani utakuwa umebaki peke ako
Ananichosha tu.Kingereza chenyewe anakopi na kupaste. Kama kaandika yeye vile.
Hapa ameedit a yearMimi nilisemaga kwamba, I will NEVER let a woman take care of me or kids, PERIOD, but to each his own, if u the type of male that likes being taken care of by a woman then thatβs on u. I think a man should at least be able to have the basics in life, a home, a car, savings of at least a third of his salary. In this country if u not doing at least $500,000 a year then u broke.
Anataka kunitapisha beer zangu kisa kizungu cha kugoogle waiiiUkicopy uwe unatoa credit
π π π
Nimeona hahahhaaaa nimepaliwa mweh.
Ahahahah maneno mengiii kama taarabuAnataka kunitapisha beer zangu kisa kizungu cha kugoogle waiii
mi huwa nawaambia wanaume wasio na hela wana maneno Mengi sana
πππIla muda huo usiniambie habari za sex..
Nitakuambia hiyo hela unayotaka kunipa ikusanye ukapeleke mahari nyumbani uje kunichukua.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kwani kuna ulazima gani kucopy ? Au ni tujue ngeli unapanda?
Ila wewe noma unacopy hauachi kitu.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hadi kitu kidogo kama hiki unakopy?ππππ Daaaah But money be damned, absolutely NOTHING gets in the way of pure animal magnetism
πππππππππPoa bro ila mm sio ke na ninaandika kingereza. Jaribu kupunguza wivu wa kimama