Can you date a guy without asking him for Money?

Hadi kitu kidogo kama hiki unakopy?
Haubadilishi hata maandishi makubwa?
Yeleiwiiii[emoji134][emoji134][emoji134][emoji134][emoji134]
Alikuwa anajifanya kuongea vingereza vingi na kujifanya sijui yuko nchi gani kumbe hapo Marangu sebuleni kwa shemaji yake baada ya kushiba machalari[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nimemkumbuka yule mswisi
 
Nyie wanawake ni kiboki mleta mada bora afungue ID nyingine tu
 
Hivi ni kwa nini wanaume wanaongoza kwa upuuzi humu Jf?
ndiyo reflection ya wanaume katika jamii zetu?
 
Mkuu mwambie huyo mtoto usivunge tu kaka, kuwa mkweli sema nae acha uoga mkuu πŸ˜› πŸ˜› πŸ˜› πŸ˜›
Mkuu mwambie huyo mtoto usivunge tu kaka, kuwa mkweli sema nae acha uoga mkuu πŸ˜› πŸ˜› πŸ˜› πŸ˜›
😁😁 nahisi Kuna mabahiria washaniwahi ila mtoto ni bonge la wife material sema basi tuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…