kabanga
JF-Expert Member
- Dec 12, 2011
- 37,421
- 18,760
Mimi napenda sijui wengine....Ooh
Kwani nyie mnawapenda wasioomba hela?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi napenda sijui wengine....Ooh
Kwani nyie mnawapenda wasioomba hela?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yale maisha hata sitaki kuyarudia kwa kweli, sema mie kipindi kile muda mwingi nilikuwa chuo yaani ilikuwa kama sisomi au sili au silali basi niko JF.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Lizarazu akakupa ustraika..
Kiungo msawazishaji..unavuruga watu hatari.
Mimi nilikuwa nacheza katikati kuweka hali vizuri...unakuta sijamaliza kuype Mara mama ananipa kazi.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Lizarazu akakupa ustraika..
Kiungo msawazishaji..unavuruga watu hatari.
Mimi nilikuwa nacheza katikati kuweka hali vizuri...unakuta sijamaliza kuype Mara mama ananipa kazi.
Ohoo ni wapi huko tuendeKazi imeanza kwa uzi wa daby
Nyingine?Kazi imeanza kwa uzi wa daby
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yale maisha hata sitaki kuyarudia kwa kweli, sema mie kipindi kile muda mwingi nilikuwa chuo yaani ilikuwa kama sisomi au sili au silali basi niko JF.
Kwanini hamtaki tuwaombe?Mimi napenda sijui wengine....
Kwanini uombe....?Kwanini hamtaki tuwaombe?
Ni uchoyo ama ni Nini?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwanini uombe....?
Umekuwa mjasiliamwili....?
Wewe acha mtu aone kisha aangalie uwezekano
Ahsante binamu yangu..[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sawa binamu wa Khantwe
Ila aombaye hupokeaAhsante binamu yangu..
.
Ndio unaomba....?Ila aombaye hupokea
Ohoo ni wapi huko tuende
Ooh
Kwani nyie mnawapenda wasioomba hela?
Neno linasema ombeni mtapewa..Ndio unaomba....?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mm napenda wadada wasioomba hela, shida ni kuwa hawa wadada wasioomba hela, wengi wao hawana chura Saint Anne kabanga
Haya ukiomba unaweza kusikilizwa...Neno linasema ombeni mtapewa..
Mimi sijaomba[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Angalia replies zake za juujuuOhoo ni wapi huko tuende
Sawa binamuHaya ukiomba unaweza kusikilizwa...
Kukubaliwa swala lingine