Can you date a guy without asking him for Money?

Ni suala la muda tu [emoji23][emoji23][emoji23] tutaungana.
Labda,ila sidhani [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ngoja nisibishe Sana maana sijafika huko Ila Mimi huwa sitoki not ya misimamo yangu.
 
Reactions: amu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ukweli wa mtu uko kwa mtu mwenyewea
Nilishakua na manzi type yako yan yeye haniombi pesa kamwe adi nijiongeze mwenyewe sometimes anakataa hela yenyewe, ananiambia yohimbe wewe bado unasoma nikikuomba hela kama nakuonea tuu coz huna source yoyote ya kipato after all mimi nimekupenda ww sijapenda pesa, ukipata kazi utanisaidia nitakapo kwama.Tatizo lake alikua hatoi papuchi ananiambia atanipa mpk akimaliza chuo ndo malengo alojiwekea coz alikua bado bikra ndo sababu ya mm kuachana nae F wangu
 
Mwanaume asiyekupa hela na wewe humuombi amini kuna sehemu anapeleka.
Wanaume wanaona fahari sana tukitumia hela zao.
Hata hawaumii huwa wanaona fahari sana nyie tu hamjui.
[emoji3]
 
Ni kwasababu na wewe humpi tunda.. So ngoma droo

Kama nimekosea niambie[emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119]
Najisikia kawaida tu maana jukumu la kunitunza ni la wazazi wangu..
Wananitunza vizuri sijawahi kosa chochote.
 
Reactions: amu
No ukiwa na shida imekubana pua na mdomo muombe tu nadhani kama sio tabia yako atajisikia vizuri kusaidia na sio tabia mbaya.
Naeza nikawa na Shida imenibana nitaomba nyumbani..
Nyumbani nina wazazi,nina kaka zangu na dada zangu,nikishindwa huko nina rafiki zangu wachache Sana ambao huwa tunakopeshana wakati wa Shida.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mlikuwa watoto vipi sas hivi
 
Aiseee
Huyo naona naendana Naye kwa asilimia nyingi.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hiyo hapo itakiwa kesi ya usaliti.
Nitaachana naye si kwangu sababu hajanipa hela ila kwako sababu ya kunisaliti.
Weeee acha.
Utaumia mara mbili.
Bora uombe mapema upunguze machungu
 
[emoji23][emoji23] tutakua tunaziona zikiwa zimefunikwa na pichu.
 
Mwanaume asiyekupa hela na wewe humuombi amini kuna sehemu anapeleka.
Wanaume wanaona fahari sana tukitumia hela zao.
Hata hawaumii huwa wanaona fahari sana nyie tu hamjui.
[emoji3]
Tunalia moyoni sema usoni tunatabasam kinafiki.
 
Ni kwasababu na wewe humpi tunda.. So ngoma droo

Kama nimekosea niambie[emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Swali lilikuwa sio Hilo ..swala lilikuwa nitajisikiaje..
 
Weeee acha.
Utaumia mara mbili.
Bora uombe mapema upunguze machungu
Unanitisha Sasa dada[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hebu acheni kuwaendekeza hawa viumbe, ndio maana wanakauwa viumbe vya ajabu ajabu. Hebu siku moja moja kama hajiongezi mstue na hitaji la hela ilochangamka nae achangamke ajue yeye ni nani.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…