Can you date a guy without asking him for Money?

Can you date a guy without asking him for Money?

"I love you Dinazarde" nakupendaga tu for no reason ndo maana nafuatilia maandishi yako.
I'm just busy. Very busy!

Love u more Humble wangu,yaan kupendwa na wewe ni rahaaa atii watu kama wewe mnanipa kiburii na jeurii ya kuishi natembea kifua mbele kama tai ujue 🥰🥰 na ulivyo ni kama id yako very sweet and humble
kwa ubusy huo utaniua unicheck kule hata mara tatu basii najua upo busy tena very busy

halaf zile nyuzi zako basii fanya urudii we mtu muhimu sana humu ndani
 

Attachments

  • 3DFCE425-0A83-4CBD-AD39-435E4EADCEF8.gif
    3DFCE425-0A83-4CBD-AD39-435E4EADCEF8.gif
    181 KB · Views: 1
Niombe za Nini?

Kwani kutokuomba hela ni tiketi ya ndoa??

Muda wa kuolewa ukifika nitaolewa..sijaolewa kwa sababu muda wa Mimi kuolewa bado haujafika.
Kila Jambo Lina wakati wake.
Naomba nije PM tuongee mawili matatu
 
Mwanaume asiyekupa hela na wewe humuombi amini kuna sehemu anapeleka.
Wanaume wanaona fahari sana tukitumia hela zao.
Hata hawaumii huwa wanaona fahari sana nyie tu hamjui.
[emoji3]

Hahahahaha kwanza mwanamke ambaye aombi hela mimi lazima ni dhani ana shida kwenye ubongo wake,,,, siwezi amini kama yuko sawa kichwani hahahahs[emoji16][emoji16][emoji16]
 
  • Thanks
Reactions: amu
Hahahahaha kwanza mwanamke ambaye aombi hela mimi lazima ni dhani ana shida kwenye ubongo wake,,,, siwezi amini kama yuko sawa kichwani hahahahs[emoji16][emoji16][emoji16]
Wanaume wa humu ndani wanataka tu kututoa majasho wakati hawatununulii body splash [emoji97]

Fahari ya mwanaume ni kutoa hela asiyetoa hela ajiangalie uanaume wake
 
Back
Top Bottom