Can you imagine a life without music?

Lavit

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2011
Posts
14,834
Reaction score
32,522
Mimi naona maisha yangekuwa magumu sana, hii haijalishi ni aina gani ya muziki ila kila binadamu anasikiliza muziki!

Kuna muda unaweza tengwa na kila mtu ila music will be there! Bado sielewi hii nguvu na ya hii kitu inatokana na nini!
 
Mi naona maisha yangekuwa magumu sana, hii haijalishi ni aina gani ya muziki ila kila binadamu anasikiliza muziki!

Mimi ndio maana nahitimishaga kwa kusema kama kitu fulani kilichopo leo kisingekuwepo na maisha yasingekuwa hivi.
Napenda sana mziki aisee, nyombo za senzo na lack dube ndio mara nyingi nasikiliza.
 
Mi naona maisha yangekuwa magumu sana, hii haijalishi ni aina gani ya muziki ila kila binadamu anasikiliza muziki!

Kuna muda unaweza tengwa na kila mtu ila music will be there! Bado sielewi hii nguvu na ya hii kitu inatokana na nini!
Life is already enjoying when you’ll be in hospital what will you do with it 😂crying,regretting and remember the moments 😂
 
Mi naona maisha yangekuwa magumu sana, hii haijalishi ni aina gani ya muziki ila kila binadamu anasikiliza muziki!

Kuna muda unaweza tengwa na kila mtu ila music will be there! Bado sielewi hii nguvu na ya hii kitu inatokana na nini!
Mkuu, music is the oldest art. Hata Mungu anapenda muziki, vitabu vinasema anaimbiwa na malaika.
 
unakukumbusha mengi yaliyopita
Inakua imekaa powa kama ni memories nzuri nzuri, Kuna nyimbo zingine ukiskiliza memories zake zinakupa majonzi unaanza kuwakumbuka washkaji ambao ulihustle saiv wametangulia mbele za haki au wapo lkn bado mambo magumu, nyimbo zingine utakumbuka misiba(hapa mara nyingi TENZI ZA ROHONI)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…