Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi ndio maana nahitimishaga kwa kusema kama kitu fulani kilichopo leo kisingekuwepo na maisha yasingekuwa hivi.Mi naona maisha yangekuwa magumu sana, hii haijalishi ni aina gani ya muziki ila kila binadamu anasikiliza muziki!
Kuna muda unaweza tengwa na kila mtu ila music will be there! Bado sielewi hii nguvu na ya hii kitu inatokana na nini!
Life is already enjoying when you’ll be in hospital what will you do with it 😂crying,regretting and remember the moments 😂Mi naona maisha yangekuwa magumu sana, hii haijalishi ni aina gani ya muziki ila kila binadamu anasikiliza muziki!
Kuna muda unaweza tengwa na kila mtu ila music will be there! Bado sielewi hii nguvu na ya hii kitu inatokana na nini!
Mkuu, music is the oldest art. Hata Mungu anapenda muziki, vitabu vinasema anaimbiwa na malaika.Mi naona maisha yangekuwa magumu sana, hii haijalishi ni aina gani ya muziki ila kila binadamu anasikiliza muziki!
Kuna muda unaweza tengwa na kila mtu ila music will be there! Bado sielewi hii nguvu na ya hii kitu inatokana na nini!
Inakua imekaa powa kama ni memories nzuri nzuri, Kuna nyimbo zingine ukiskiliza memories zake zinakupa majonzi unaanza kuwakumbuka washkaji ambao ulihustle saiv wametangulia mbele za haki au wapo lkn bado mambo magumu, nyimbo zingine utakumbuka misiba(hapa mara nyingi TENZI ZA ROHONI)unakukumbusha mengi yaliyopita
Kwangu mziki ndio kiunganishi cha vitu ulivo vtaja,no sex bila mziki,no food bila mziki.. yaani natafuana kwa kufata biti, na gegeda kwa kufata bitiKwangu mm ni tofauti kidogo naanza na mapenzi(uchi), msosi(mdudu/mbuzi katoliki), mpira & Muziki
Anamaanisha mziki ndio hukuliwaza hata wakati unapoachwa na mpenzi wako mziki ndio hukuliwaza.Yasingekua magumu kwasababu music usingeujua na usingeuwaza.