Can you imagine a life without music?

Exactly, memories unaweza kujikuta unalia kama msiba, kiujumla music ni mzuri sana.
 
Napenda music, halafu naupenda tena. Ukiwa na furaha,huzuni,upweke unakuliwaza,unakufundisha,unakukumbusha mengi yaliyopita. Music ni kama best friend.
Tushirikishane basi nyimbo nzuri za kufaa kupingana na wakati husika

Mzima lakini ndugu yangu, ulipotea mno hadi nilikumiss sana, nafurahi upo mzima.
 
Tushirikishane basi nyimbo nzuri za kufaa kupingana na wakati husika

Mzima lakini ndugu yangu, ulipotea mno hadi nilikumiss sana, nafurahi upo mzima.
Mimi mzima kabisa ndugu yangu, nafurahi pia u mzima. Nilipotea kidogo toka mwaka jana. Unapendelea aina gani ya music?
 
Mi naona maisha yangekuwa magumu sana, hii haijalishi ni aina gani ya muziki ila kila binadamu anasikiliza muziki!

Kuna muda unaweza tengwa na kila mtu ila music will be there! Bado sielewi hii nguvu na ya hii kitu inatokana na nini!
Aliegundua amapiano 🙏🙏🙏
 
Anamaanisha mziki ndio hukuliwaza hata wakati unapoachwa na mpenzi wako mziki ndio hukuliwaza.
Sasa kama kusingekuwepo na mziki ni kitu gani kingekuliwaza?
Hayo ni mawazo yake kwasababu tayari anaujua muziki,kwenye dunia ambayo muziki haujulikani mambo yangeenda vizuri tu na kuna mambo mengi sana ukiachana na muziki..
Kwani kabla ya internet unahisi watu walikua na huzuni kwa kutokuepo na internet?lilikua ni jambo ambalo hawalijui na hawakua wakiliwaza kwa namna yyte ile na walikua na maisha yaliyokamilikwa kwa wakati wao..hivyo usiijudge dunia isiyokua na muziki kwa perspective ya dunia yenye muziki
 
Mi naona maisha yangekuwa magumu sana, hii haijalishi ni aina gani ya muziki ila kila binadamu anasikiliza muziki!

Kuna muda unaweza tengwa na kila mtu ila music will be there! Bado sielewi hii nguvu na ya hii kitu inatokana na nini!
Inatokana na shetan!👹👹👹👹👹
 
Muziki ni kama basic need muda mwingine ndio maana hata Biblia inaonyesha Mungu pia anaupenda muziki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…