Bantu Lady
JF-Expert Member
- Jan 9, 2014
- 8,900
- 28,398
Exactly, memories unaweza kujikuta unalia kama msiba, kiujumla music ni mzuri sana.Inakua imekaa powa kama ni memories nzuri nzuri, Kuna nyimbo zingine ukiskiliza memories zake zinakupa majonzi unaanza kuwakumbuka washkaji ambao ulihustle saiv wametangulia mbele za haki au wapo lkn bado mambo magumu, nyimbo zingine utakumbuka misiba(hapa mara nyingi TENZI ZA ROHONI)