Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama hana kazi kwa bahati mbaya itaniuma sana kumkuta mume wangu kipenzi anakukuruka na masufuria, mara kubadilisha nepi mtoto etc. Ila kama anajitegeza hana kazi kwa sababu hajataka huyo hizo kazi zinamfaa sana, besides siwezi ishi na mwanaume ambae hapendi kufanya kazi kwa makusudi ni bora ufe hujawahi olewa kuliko kuolewa na mtu kama huyo ili kutafuta heshima kwa majirani na wewe una mume mbanu!
Husninyo umenikumbusha kaka mmoja niliwahi kutana nae ana miaka 30, kasomeshwa na wazazi hadi chuo, akatafutiwa ajira na baba ake, akafanya kazi miezi kadhaa akaacha, anakula na kulala kwa baba ake, anaendesha gari aliyopewa na baba ake, anawekewa mafuta na mama ake tena kwa siri ili baba asijue manake baba hakubaliani sana na mambo yake.
Anafuliwa nguo na kusafishiwa chumba na house girl wao, akila chakula hawezi hata kunyanyua hicho chombo hapo mezani. Kwa kweli nikasema namhurumia huyo atakae jiita mke wake.
Sasa LD,
Mbona hawa ma house wife or magoal keeper wanapewa ma H/G na ma-H/B? Yaani mi kwa sababu nipo home ndo nisipewa h/g or h/b? mbona utakuwa unaninyanyasa kijinsia mama? Utajisikiaje (kutoka moyoni), mumeo anarudi jioni, yupo busy na masufuria, mara kitoto kimkojoa anabadilisha nepi, mara sufuria inaungua aikimbilie. mara chooni hakujasafishwa etc etc, utakuwa na peace of mind kweli?
haaaaaaaa!
Yaani huyo anaweza kuoa halafu akaenda kuishi na mkewe kwa wazazi wake.
Lol!
Mwanaume wa hivyo atakuwa anakunya akili.
Ehhhhhh unyanyasaji gani kutaka mtu mwenye mwelekeo wa maisha!!!Kwanza huyo mwanaume asie na kazi na asietaka kazi anaishije na anatarajia nini huko mbeleni???Lazima nikimbie wewe!!!
Mmmm atanisamehe tu,
Mwanaume hana kazi, hana biashara, sio mkulima, wala hata mfagizi. (Jobless)
Nahisi hata kichwani hazita kuwepo vizuri, na mlivyoumbia ukichwa, hakuna mwanaume anayetaka kuhisi tu yuko chini ya mwanamke. Sipati picha mateso yake. Afadhali tu nikakaa peke yangu.
Lizzy, chukulia ni mlemavu na ameamua kutojishughulisha tena kwa kujiamini kuwa atakutegemea wewe mkewe. Utafanyaje?
There is no permanent situation on earth. Anaweza kuwa jobless leo na akawa productive in the rest of his life na anaweza kuwa na kazi leo akawa jobless forever. Kikubwa ni kumuomba Mungu akupe mume unayeendana naye na awabariki muweze kuishi katika upendo na amani tele
Maty,
Unakunywa bia...sorry? if yes, bia gani tafadhali? Well well said!
Lizzy, chukulia ni mlemavu na ameamua kutojishughulisha tena kwa kujiamini kuwa atakutegemea wewe mkewe. Utafanyaje?
Siwezi kuolewa na joblessman otherwise awe ana elimu ya kutosha nitajipa matumaini kuwa atapata kazi.
Mh wewe Michele utamnyanyasa huyo jamaa
Hahahaaaaaa habari yake bia, utanitumiaje hiyo bia we taluma deni hili ujue! halafu ID yako hii ngoja nijitahidi kusoma katikati ya mistari
Michelle I agree with you, however real marriages (hopeful the ones that last) have nothing to do with whether one has the job or not, I know it all about today's world of globalization as we know it, you find people are not themselves etc etc. But the truth is when we fall in love genuinely, we fall in love with the person within it has nothing to do with material person say job status, his/her ethnic group and or financial status etc. That is the truth unless one has a hidden agenda.
je kwa mwanaume kuoa mwanamke jobless, hiyo ni fair? hebu nifafanulie hapo....pls usidharau post hii!!!
Interesting article....:shock::shock:
I think bn jobless is not a permanent status,if the man is jobless now it does not mean the situation will be like that forever,if there are signs that,he enjoys that state and is doing nothing to change then he can forget marriage,otherwise marriage is possible.............
If he is jobless,and looking for a job and has got education or is smart enough to run a business or humble enough to do house chores,then some of us will marry him..........:car:
Unajua nini Taluma yawezekana kweli nilikuelewa vibaya, yani nilidhani unamtetea huyu mtu ambaye ni jobless, vissionless,thinkless, Mindless, yani ni less less less isipukuwa bedless.
Huyu hapana ntaishi tu peke angu. Lakini huyu ambaye ni Mwanaume wa ukweli hana kazi leo kesho atakuwa nayo, anajua kuchakarika hapa na pale, alaa mbona nitamsaidia tunafungua duka anaendesha huku akiwa anasubiria kazi, duka likichanganya anaeza asitake tena hata hiyo kazi akaendelea na bussiness tuuuuuu!!
Hahahaha hahahaha maisha yanaendelea Taluma wangu.