Can You Marry A Jobless Man?

Can You Marry A Jobless Man?

Kama hana kazi kwa bahati mbaya itaniuma sana kumkuta mume wangu kipenzi anakukuruka na masufuria, mara kubadilisha nepi mtoto etc. Ila kama anajitegeza hana kazi kwa sababu hajataka huyo hizo kazi zinamfaa sana, besides siwezi ishi na mwanaume ambae hapendi kufanya kazi kwa makusudi ni bora ufe hujawahi olewa kuliko kuolewa na mtu kama huyo ili kutafuta heshima kwa majirani na wewe una mume mbanu!

Maty,

Unakunywa bia...sorry? if yes, bia gani tafadhali? Well well said!
 
Husninyo umenikumbusha kaka mmoja niliwahi kutana nae ana miaka 30, kasomeshwa na wazazi hadi chuo, akatafutiwa ajira na baba ake, akafanya kazi miezi kadhaa akaacha, anakula na kulala kwa baba ake, anaendesha gari aliyopewa na baba ake, anawekewa mafuta na mama ake tena kwa siri ili baba asijue manake baba hakubaliani sana na mambo yake.

Anafuliwa nguo na kusafishiwa chumba na house girl wao, akila chakula hawezi hata kunyanyua hicho chombo hapo mezani. Kwa kweli nikasema namhurumia huyo atakae jiita mke wake.

haaaaaaaa!
Yaani huyo anaweza kuoa halafu akaenda kuishi na mkewe kwa wazazi wake.
Lol!
Mwanaume wa hivyo atakuwa anakunya akili.
 
Can you ?..... OFCOURSE YOU CAN
Should you ?..... THAT'S A DIFFERENT CASE ALTOGETHER AND IT DEPENDS.....
 
Sasa LD,

Mbona hawa ma house wife or magoal keeper wanapewa ma H/G na ma-H/B? Yaani mi kwa sababu nipo home ndo nisipewa h/g or h/b? mbona utakuwa unaninyanyasa kijinsia mama? Utajisikiaje (kutoka moyoni), mumeo anarudi jioni, yupo busy na masufuria, mara kitoto kimkojoa anabadilisha nepi, mara sufuria inaungua aikimbilie. mara chooni hakujasafishwa etc etc, utakuwa na peace of mind kweli?

Unajua nini Taluma yawezekana kweli nilikuelewa vibaya, yani nilidhani unamtetea huyu mtu ambaye ni jobless, vissionless,thinkless, Mindless, yani ni less less less isipukuwa bedless.

Huyu hapana ntaishi tu peke angu. Lakini huyu ambaye ni Mwanaume wa ukweli hana kazi leo kesho atakuwa nayo, anajua kuchakarika hapa na pale, alaa mbona nitamsaidia tunafungua duka anaendesha huku akiwa anasubiria kazi, duka likichanganya anaeza asitake tena hata hiyo kazi akaendelea na bussiness tuuuuuu!!

Hahahaha hahahaha maisha yanaendelea Taluma wangu.
 
haaaaaaaa!
Yaani huyo anaweza kuoa halafu akaenda kuishi na mkewe kwa wazazi wake.
Lol!
Mwanaume wa hivyo atakuwa anakunya akili.

Husninyo kwa nini lakini unanichekesha hivi, Yaani mtu anakunya akili??!!!! Sijui atakuwa anakula nini halafu anye akili.
 
Ehhhhhh unyanyasaji gani kutaka mtu mwenye mwelekeo wa maisha!!!Kwanza huyo mwanaume asie na kazi na asietaka kazi anaishije na anatarajia nini huko mbeleni???Lazima nikimbie wewe!!!

Lizzy, chukulia ni mlemavu na ameamua kutojishughulisha tena kwa kujiamini kuwa atakutegemea wewe mkewe. Utafanyaje?
 
Mmmm atanisamehe tu,
Mwanaume hana kazi, hana biashara, sio mkulima, wala hata mfagizi. (Jobless)

Nahisi hata kichwani hazita kuwepo vizuri, na mlivyoumbia ukichwa, hakuna mwanaume anayetaka kuhisi tu yuko chini ya mwanamke. Sipati picha mateso yake. Afadhali tu nikakaa peke yangu.

There is no permanent situation on earth. Anaweza kuwa jobless leo na akawa productive in the rest of his life na anaweza kuwa na kazi leo akawa jobless forever. Kikubwa ni kumuomba Mungu akupe mume unayeendana naye na awabariki muweze kuishi katika upendo na amani tele
 
Lizzy, chukulia ni mlemavu na ameamua kutojishughulisha tena kwa kujiamini kuwa atakutegemea wewe mkewe. Utafanyaje?

Hii kesi nyingine kabisaaaa, kwa sababu lazima nitakuwa nimemkubali pamoja na ulemavu wake, nimejipanga kukabidhiana na maisha, mpaka naamua kuingia ndani nimeshajua ni jinsi gani nitatoka kimaisha mi na watoto wangu na Mungu akiwa upande wetu.

Halafu hapa hatuangalii pesa, ila tunaangalia huyu mwanaume anawajibika vipi ktk jamii, kwa sababu sio tu familia inatutegemea jamani, kuna ndugu, jamaa, marafiki na jamii kwa ujumla wake. Sasa kama jamaa ye yupo yupo tu hata mawazo yamaendeleo hana, hata wewe utampa mtoto ako kweli, achalia mbali dada ako??
 
There is no permanent situation on earth. Anaweza kuwa jobless leo na akawa productive in the rest of his life na anaweza kuwa na kazi leo akawa jobless forever. Kikubwa ni kumuomba Mungu akupe mume unayeendana naye na awabariki muweze kuishi katika upendo na amani tele

Yap my dear you are very right, Nadhani huyu jobless ambaye nilimwelewa mwanzo ni tofauti na huyu, Kwa sababu kama mtu ana Elimu, anajua kufikiria, ana maono na mawazo ya maendeleo hana tatizo hata kidogo. Kama utakuwa umenisoma hapo juu nadhani utanielewa.

Na nina Amini kabisa maisha ni Mungu anapanga na tunaishi kwa Neema ya Mungu tu.
 
Maty,

Unakunywa bia...sorry? if yes, bia gani tafadhali? Well well said!

Hahahaaaaaa habari yake bia, utanitumiaje hiyo bia we taluma deni hili ujue! halafu ID yako hii ngoja nijitahidi kusoma katikati ya mistari
 
Lizzy, chukulia ni mlemavu na ameamua kutojishughulisha tena kwa kujiamini kuwa atakutegemea wewe mkewe. Utafanyaje?

Huyu mlemavu atakaa hata dukani kwanza hebu pambanua ni mlemavu wa aina gani? maana nisijekua nachangia kumbe tunazungumzia mlemavu wa akili
 
Siwezi kuolewa na joblessman otherwise awe ana elimu ya kutosha nitajipa matumaini kuwa atapata kazi.

je kwa mwanaume kuoa mwanamke jobless, hiyo ni fair? hebu nifafanulie hapo....pls usidharau post hii!!!
 
Hahahaaaaaa habari yake bia, utanitumiaje hiyo bia we taluma deni hili ujue! halafu ID yako hii ngoja nijitahidi kusoma katikati ya mistari

Habari yake Maty bana, Maty hii Id hata mimi kuna wakati nilistuka lakini nikapotezea, ngoja tuisome kwa makini kweli!!!!!!!!!
 
Michelle I agree with you, however real marriages (hopeful the ones that last) have nothing to do with whether one has the job or not, I know it all about today's world of globalization as we know it, you find people are not themselves etc etc. But the truth is when we fall in love genuinely, we fall in love with the person within it has nothing to do with material person say job status, his/her ethnic group and or financial status etc. That is the truth unless one has a hidden agenda.

I agree with you also Mo-TOWN, the fact is life has changed,its hard to manage the family all by urself and thats why we can not go into marriage with a person that has nothing to offer.....with this kind of life most of us would rather deny ourselves and marry those we can share managing a family together.....😛layball:
 
je kwa mwanaume kuoa mwanamke jobless, hiyo ni fair? hebu nifafanulie hapo....pls usidharau post hii!!!

Huyo mwanamke jobless unakutana nae wapi! unless na wewe ni jobless mimi ni mmama na nina siku mingi sijakutana na wanawake majobless hata kama wapo ni wachache sana na ni kwa sababu maalumu.
 
What is Jobless???; Je ni mtu ambaye sio employed/self-employed...., Je anayebaki nyumbani na kusaidia kazi za nyumbani naye ni Jobless??;

Naona hapa tukisema mwanaume USELESS au GOOD FOR NOTHING italeta maana zaidi...., sababu hili neno Jobless lipo broad...

Now incase tunaongelea USELESS siwezi nikamshauri mwanaume/mwanamke mwenza wake awe useless (if there is such a case as a useless person)
 
Interesting article....:shock::shock:

I think bn jobless is not a permanent status,if the man is jobless now it does not mean the situation will be like that forever,if there are signs that,he enjoys that state and is doing nothing to change then he can forget marriage,otherwise marriage is possible.............

If he is jobless,and looking for a job and has got education or is smart enough to run a business or humble enough to do house chores,then some of us will marry him..........:car:

Will he be independent or your prisoner?
 
Unajua nini Taluma yawezekana kweli nilikuelewa vibaya, yani nilidhani unamtetea huyu mtu ambaye ni jobless, vissionless,thinkless, Mindless, yani ni less less less isipukuwa bedless.

Huyu hapana ntaishi tu peke angu. Lakini huyu ambaye ni Mwanaume wa ukweli hana kazi leo kesho atakuwa nayo, anajua kuchakarika hapa na pale, alaa mbona nitamsaidia tunafungua duka anaendesha huku akiwa anasubiria kazi, duka likichanganya anaeza asitake tena hata hiyo kazi akaendelea na bussiness tuuuuuu!!

Hahahaha hahahaha maisha yanaendelea Taluma wangu.

Sasa LD mbona sijapata PM yako kule kwenye ile thread ya muhimu kwangu? ebu angalia signature yangu halafu action accordingly please....!
 
Back
Top Bottom