Canada, China, Mexico wajiandae dhidi ya Trump

Mi mi

JF-Expert Member
Joined
Jul 14, 2024
Posts
2,748
Reaction score
5,112
20241126_191616.jpg
20241126_191611.jpg
 
trump maneno yashakua mengi
 
Yeye Trump na Wamarekani wamejiandaaje na ongezeko la bei za bidhaa kutoka hizo nchi wakiimport? Naona watakuwa wanajiumiza wenyewe

Kwa sasa soko la Marekani linachangia 2% tu ya GDP ya China ambayo ni sawa na $500 bln katika uchumi wa China ambao ni $18 trillion.

Kwa hiyo kiuchumi China wala haimshtui. Miaka 6 iliyopita alifanya hivyo hakuna alichofanikiwa.

Waswahili walisema mfa maji haachi kutapatapa ndipo Marekani alipofikia kwenye ushindani na China

Na wakati huohuo Marekani ndiyo anaongoza kwa kuimport bidhaa kutoka China. Sasa nani anamtegemea mwenzake zaidi?

Najua kwa Mexico ni kwa sababu kuna investment nyingi za China zinazoingia Marekani kupitia Mexico kama 3rd part
 
Ni asilimia ngapi ya export yote ya China inaenda US?
 
Tukitumia data za Marekani wanasema katika uingizaji wa bidhaa Marekani bidhaa za China ni 15%
So China anaexport 15% Percent ya bidhaa zake anazoexport kwenda USA? Hii ni sehemu kubwa sana ya uchumi ambayo kama China akiipoteza uchumi wake utayumba vibaya.
 
Angalia thamani ya bidhaa achana na hizo percentage

Hiyo 15% ni sawa na 500 billion ataanzaje kuyumba? Kweli Mchina ayumbe kiuchumi kwa kupoteza soko la 500 billion?

All in all Marekani hana ubavu wa kusema asiimport bidhaa za China kabisa hiyo ni nadharia tu.

Marekani ana bidhaa nyingi anaimport kutoka China ambazo ni muhimu kwake
 
Mkuu una tatizo kwenye kuangalia uchumi. 15% ya export yako unaona ni sehemu ndogo ya uchumi? 500bln USD unaona ni pesa ndogo kweli. Unafikiri ni mamilioni mangapi ya ajira ndani ya China yanategemea hiyo export ya 500bln usd? Kwenye biashara China anamtegemea US kuliko US anavyomtegemea China.
 
Back
Top Bottom