Kwenye mtandao kila kitu kipo na kirahisi. Lakini mchango wa export kwenye gdp hauangaliwi kwa value tu ya bidhaa zilizouzwa. Wanaangalia pia hiyo export imetengeneza ajira ngapi. Imezalisha kiasi gani kwenye service industry nk nk. Sisi tunawauzia Kenya bidha za kama dola milioni 200 kwa mwaka. Lakini impact ya hiyo pesa na kubwa sana. Hiyo pesa itamlipa mkulima wa mahindi, naye atamlipa muuza mbolea, aliyemuuzia mifuko, mlimaji, mtu mwenye guest, boda boda aliyempeleka shambani nk nk. So kuangalia tu export kwa thamani yake kama sehemu ya gdp haileti maana iliyo sawa kiuchumi.