Kitu ambacho hujaelewa asilimia kubwa ya hizo exports kwenda USA ni malighafi za viwanda sio finished products.Mkuu una tatizo kwenye kuangalia uchumi. 15% ya export yako unaona ni sehemu ndogo ya uchumi? 500bln USD unaona ni pesa ndogo kweli. Unafikiri ni mamilioni mangapi ya ajira ndani ya China yanategemea hiyo export ya 500bln usd? Kwenye biashara China anamtegemea US kuliko US anavyomtegemea China.
Wakati wewe awaomboleza wanasiasa wenzako wamefiwa na ndugu zaidi ya moja kariakooBado tunaombeleza kifo cha ali kibao,akina soka wapo wapi? Na wengine wengi
Mkuu una tatizo kwenye kuangalia uchumi. 15% ya export yako unaona ni sehemu ndogo ya uchumi? 500bln USD unaona ni pesa ndogo kweli. Unafikiri ni mamilioni mangapi ya ajira ndani ya China yanategemea hiyo export ya 500bln usd? Kwenye biashara China anamtegemea US kuliko US anavyomtegemea China.
Acha upotoshaji. Sehemu kubwa ya export ya China kwenda USA, zaidi ya 90% ni finished products. Malighafi gani China inaiuzia US?Kitu ambacho hujaelewa asilimia kubwa ya hizo exports kwenda USA ni malighafi za viwanda sio finished products.
China akisema agome na yeye Kuna viwanda vingi USA vitasimama uendeshaji maana cheap quality raw materials zinatoka China.
Tafiti vizuri. 15% ya export ya China inaenda USA. Na nyingine 16% inaenda EU. Na huwezi tu ukasema 500bln ni 2% ya GDP wakati hiyo export ya 500bln inazalisha mamilioni ya ajira ndani ya China na kuwa na effect kubwa kwenye GDP ya China kuliko kusema kirahisi 2%Hiyo 15% ni upande wa Marekani kwenye importation zake
Lakini hiyo 500 bln ya Marekani ni 2% tu ya GDP ya China
Kusema China anaitegemea Marekani sio sahihi kabisa.
Tuseme mataifa yote yanaamua yasinunue bidhaa za mwenzake unajua kuwa
Export ya Marekani kwenda China peke yake ni sawa na 7.5% ya total ya exports.
Hili nalo unalizungumziaje? Kuna ajira ngapi kwenye hiyo 7.5% zitapotea na viwanda vingapi vinavyotegemea crucial components na parts kutoka China vitashindwa kuzalisha?
Tafiti vizuri. 15% ya export ya China inaenda USA. Na nyingine 16% inaenda EU. Na huwezi tu ukasema 500bln ni 2% ya GDP wakati hiyo export ya 500bln inazalisha mamilioni ya ajira ndani ya China na kuwa na effect kubwa kwenye GDP ya China kuliko kusema kirahisi 2%
GDP ni thamani ya goods and services zilizozalishwa na kutolewa ndani ya nchi kwa kipindi husika. Huwezi chukua thamani ya export na kuiweka kama percent ya GDP wakati export ina multiplier effect. Hiyo export ya 500bln haiishii hapo. Inakuza skta ya usafiri wa anga. Bandari. Mahoteli. Ishu zingine za logistics na vitu vingine kibao. Mchango wake kwenye GDP hauishii kwenye 500bln tu ya bidhaa zilizouzwa.Kwa hiyo 500 bln kwa value ya GDP ya uchumi wa China ni asilimia ngapi mkuu?
Je, umefikiria Marekani hata ikisema haiagizi bidhaa kutoka China nayo itaathirika jinsi gani? Na China ikisema haigaizi bidhaa za Marekani unajua Marekani nayo itaathirika jinsi gani?Mbona hizo hoja 2 unazikimbia sana?
Wewe si mchumi njoo tudiscuss hizo hoja 2
Na ndiyo maana unaona US ana kiburi cha kuanzisha tariffs war.
Inafahamika. Lengo ni kufanya bidhaa za wachina ziwe bei juu ndani ya Marekani na hivyo kupunguza uagizaji wa bidhaa kutoka China. Na labda kuwezesha uzalishaji wa ndani. Marekani anamtishia China habari za tariffs kwa sababu kwenye biashara yao China ndiyo mwenye kufaidika zaidi, ndiyo mwenye trade surplus.Mzee tariffs ni hidden tax sio Wachina wanayolipia ni Wamarekani ndiyo wanailipia wanapotumia bidhaa za China.
Kwa hiyo Trump akiongrza tariffs kwanza anawaumiza tu raia wanaonunua finished goods kutoka China
Pili, manufacturers wa Marekani wanaponunua raw materials, components na parts kutoka China watakapotengeneza bidhaa zitapanda bei kwa hiyo mwisho wa siku anayeumia ni final consumers
Inafahamika. Lengo ni kufanya bidhaa za wachina ziwe bei juu ndani ya Marekani na hivyo kupunguza uagizaji wa bidhaa kutoka China. Na labda kuwezesha uzalishaji wa ndani. Marekani anamtishia China habari za tariffs kwa sababu kwenye biashara yao China ndiyo mwenye kufaidika zaidi, ndiyo mwenye trade surplus.
Na labda kuwezesha uzalishaji wa ndani.
Marekani anamtishia China habari za tariffs kwa sababu kwenye biashara yao China ndiyo mwenye kufaidika zaidi, ndiyo mwenye trade surplus.
15%Ni asilimia ngapi ya export yote ya China inaenda US?
Siyo kwamba hana, waliudumuza ili wachache wapige helaKwa supply chain gani aliyo nayo Marekani?
Mpaka leo mfano tu defense contractors na watengenezaji wa vifaa vya electronic na bidhaa nyingine Marekani wanategemea suppliers kutoka China.
Marekani hana supply chain ya kuweza kutengeneza components muhimu za kulisha utengenezaji wa bidhaa zake za viwandani bila mkono wa Mchina
View attachment 3163521
Defense contractors wa Marekani wanaitegemea sana China
Well said. Rais wa Mexico amemwambia Trump apambane na watu wake waache kutumia madawa ya kulevya.Yeye Trump na Wamarekani wamejiandaaje na ongezeko la bei za bidhaa kutoka hizo nchi wakiimport? Naona watakuwa wanajiumiza wenyewe
Kwa sasa soko la Marekani linachangia 2% tu ya GDP ya China ambayo ni sawa na $500 bln katika uchumi wa China ambao ni $18 trillion.
Kwa hiyo kiuchumi China wala haimshtui. Miaka 6 iliyopita alifanya hivyo hakuna alichofanikiwa.
Waswahili walisema mfa maji haachi kutapatapa ndipo Marekani alipofikia kwenye ushindani na China
Na wakati huohuo Marekani ndiyo anaongoza kwa kuimport bidhaa kutoka China. Sasa nani anamtegemea mwenzake zaidi?
Najua kwa Mexico ni kwa sababu kuna investment nyingi za China zinazoingia Marekani kupitia Mexico kama 3rd part
Siyo kwamba hana, waliudumuza ili wachache wapige hela
Well said. Rais wa Mexico amemwambia Trump apambane na watu wake waache kutumia madawa ya kulevya.
GDP ni thamani ya goods and services zilizozalishwa na kutolewa ndani ya nchi kwa kipindi husika. Huwezi chukua thamani ya export na kuiweka kama percent ya GDP wakati export ina multiplier effect. Hiyo export ya 500bln haiishii hapo. Inakuza skta ya usafiri wa anga. Bandari. Mahoteli. Ishu zingine za logistics na vitu vingine kibao. Mchango wake kwenye GDP hauishii kwenye 500bln tu ya bidhaa zilizouzwa.
Unaangalia mambo kinyumenyume. Mwenye trade surplus ndiye anayemhitaji mwenye deficit. China ambaye anauza sana Marekani kuliko anavyonunua ndiye anamhitaji zaidi Marekani.Hata Marekani ifanyaje haitaweza kuondoa trade deficit kwenye biashara na China. Marekani inaihitaji China