Canada na Uswizi zatangaza kumtia mbaroni Benjamin Netanyahu akigusa ardhi yao

Canada na Uswizi zatangaza kumtia mbaroni Benjamin Netanyahu akigusa ardhi yao

hakuna haja ya kuandikia mate,
wajitokeze kumkamata, hivi karibuni atakua Hungary šŸ’
Sasa Hungary ni miongoni mwa mataifa yaliyotangaza wazi kumkamata?

Mbona hueleweki hata unachozungumza mkuu?

Nimesema ajichanganye akanyage mataifa yaliyotangaza kumkamata kama kweli yeye kidume.
 
Wafia dini mnachekesha nani mwenye mabavu ya kumkamata Netanyahuu kiongozi wa taifa la nuklia Israel labda nikuulize kiongozi gani alishakamatwa baada ya kudhuru taifa lolote mwanachama wa icc mfano Putin alienda falme za kiarabu mbona hawakumshika
Sikia wewe punguani upo Uyole hujui lolote mabasha zako Marekani na Ulaya wamepambana ICC wasitoe hati ya mashataka imeshindikana ni ushindi Netenyahu kuwa kundi moja na kina
Jean-Pierre Bemba,
Simone Gbagbo, Germain Katanga.
Bosco Ntaganda.šŸ˜…
 
Unahaha sana kuokoteza vijihabari kwenye mitandao.

Unapata afueni ukivisoma eh?

🤣
Inachekesha viahabari vya kuokoteza na wewe unavisoma šŸ˜‚

Kinachofuraisha Netanyahu sasa hivi yupo kundi moja na wenzake.

Bosco Ntaganda
Germain Katanga, Jean-Pierre Bemba
Laurent Gbagbo.

Huu ni ushindi tosha.

Trump povu linamtoka huko anataka kuiwekea vikwazo MahakamašŸ˜‚
 
Sasa Hungary ni miongoni mwa mataifa yaliyotangaza wazi kumkamata?

Mbona hueleweki hata unachozungumza mkuu?

Nimesema ajichanganye akanyage mataifa yaliyotangaza kumkamata kama kweli yeye kidume.
akafanye nini kwenye taifa lililodhaifu na lilioshindwa kama uingereza šŸ’
 
Inachekesha viahabari vya kuokoteza na wewe unavisoma šŸ˜‚

Kinachofuraisha Netanyahu sasa hivi yupo kundi moja na wenzake.

Bosco Ntaganda
Germain Katanga, Jean-Pierre Bemba
Laurent Gbagbo.

Huu ni ushindi tosha.

Trump povu linamtoka huko anataka kuiwekea vikwazo MahakamašŸ˜‚
unazungumzia makundi?

Sinwar, Haniyeh, Nasrallah, na Deif wanafaidi vibinti 72x4 huko waliko 🤣.

Halafu yule aliyefumuliwa komwe sijui itakuwaje sasa…
 
unazungumzia makundi?

Sinwar, Haniyeh, Nasrallah, na Deif wanafaidi vibinti 72x4 huko waliko 🤣.

Halafu yule aliyefumuliwa komwe sijui itakuwaje sasa…
Wewe ndiyo unaogopa kufa kuuliwa muasisi wa Hamas ndiyo kwanza mapambano yanaendelea nyie walolole ndiyo mnaogoa kufa🤣

Wewe Yahudi jeusi wa Ngudu andelea kutokwa na povu, bwana yenu hawezi kutoka nje ya Israel mpaka atakufa, wenzake wameishamgeuka mmebakia nyie šŸ˜‚

View: https://x.com/shaykhsulaiman/status/1860452675340607714?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
 
Hivi hata unaelewa nacho ongea? Mpaa uwe na akili ndio utafahamu wenye akili wakiongea. We umesema akikamatwa nyau kutakuwa na vita vya WW3 kivipi? Sababu ipi hujatueleza. Pili kama unategemea US atakuwa against UK basi unaota US yuko tayari kuwapinga Israel lakini asimpinge UK hio weka akilini UK wameisha sema Nyau watamtia ndani akigusa UK hilo ni pigo kubwa sana kwa USA kabla ya Israel. Usifananishe Putin na Nyau hata siku moja.
Kwa huu mvurugano wa uingereza na usa kuhusu Netanyahu na mahakama ya Icc naona tunaelekea pazuri
 
Elimu ya SA ndio maana ni bora sana Wanasheria wao walipeleka kesi Mahakamani ikionekana wana hatia ICC ifanyie kazi.
 
Wanaukumbi.

Nchi 8—Canada, Ufaransa, Uhispania, Ubelgiji, Ireland, Italia, Uholanzi na Uswizi—zimetangaza kumkamata Netanyahu iwapo ataingia katika eneo lao.

Nadia Bilbassy aliuliza Ikulu kuhusu ICC na sheria za kimataifa, wakajibu: "Tunakataa na hakika tuna maoni tofauti kuhusu hilo"

Pia, soma: Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu (ICC) yatangaza hati za kukamatwa kwa Waziri Mkuu wa Israeli Benjamin Netanyahu

==============

8 countries—Canada, France, Spain, Belgium, Ireland, Italy, the Netherlands, and Switzerland—have announced they will arrest Netanyahu if he enters their territory.

@nadia_bilbassy asked the White House about the ICC & international law, they responded with: ā€œWe reject & we certainly have different opinions on thatā€

View attachment 3158681
Hivi sisi hatuwezi kumkamata akija kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa?
 
Muerevu sasa mbona tena unaleta muhemko 🤣

Israel hawatakubali kiongozi wao kukamatwa popote Duniani, na ikitokea hivyo watatumia nguvu ikiwa ni pamoja na jeshi kuhakisha kiongozi wao hakai sero nchi yoyote ile?

Je,
Marekani na uingerea watakua upande gani Israel akilianzisha kwasabb hiyo?

Sio vita ya tatu hiyo ndugu muerevu ngmwenye muhemko kwenye masula muhimu?šŸ’
Nguvu aliyokuwa nayo isreli ni hapo gaza kwa kuwa wameizunguka na kuidhoofisha vya kutosha
 
Sasa kama kweli yeye mwanaume aingie nchi moja wapo hapo.

Akatafute nini.....Yeye anafanya mambo tu......Angalia Lebanon jana...

1732429468585.png
 
Wanaukumbi.

Nchi 8—Canada, Ufaransa, Uhispania, Ubelgiji, Ireland, Italia, Uholanzi na Uswizi—zimetangaza kumkamata Netanyahu iwapo ataingia katika eneo lao.

Nadia Bilbassy aliuliza Ikulu kuhusu ICC na sheria za kimataifa, wakajibu: "Tunakataa na hakika tuna maoni tofauti kuhusu hilo"

Pia, soma: Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu (ICC) yatangaza hati za kukamatwa kwa Waziri Mkuu wa Israeli Benjamin Netanyahu

==============

8 countries—Canada, France, Spain, Belgium, Ireland, Italy, the Netherlands, and Switzerland—have announced they will arrest Netanyahu if he enters their territory.

@nadia_bilbassy asked the White House about the ICC & international law, they responded with: ā€œWe reject & we certainly have different opinions on thatā€

View attachment 3158681
Umeona sasa nchi za makafiri zilivyo na akili?

Wewe si umekariri uislamu tu...
 
Back
Top Bottom