Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kicheko kitazidi akianza kunyea ndooNi moja ya vichekesho sana.😂😂😂😂
Sssshyee! Kwani hapo alipo hapamtoshi mpaka aende huko kwao? Mm nilidhani wanamsaka kumtia mbaroni kama Polisi wetu wanavyowasaka vibaka na wapinzani.Mataifa ya Ulaya na Amerika yanaendelea kutoa onyo kwa Gaidi Benyamini Netanyahu zitamtia mbaroni na kumpiga tanganyika jeki atakapo gusa ardhi zao
BREAKING:
Canada announced its support for International Criminal Court’s arrest warrant for Netanyahu.
Netanyahu will be arrested if he sets foot in Canada.
Inatania tu!Canada mbona ina kiherehere namna hiyo, wapi itapata jeuri ya kumkamata Netanyahu?
Nahangaika kusoma kumbe uzi wa Ritz
labda wamkamate Netanyahu wa mchongo si wa hii Israel. Mjue yule mwamba si slobodanWazungu ua watu wote lakini sio watoto kitendo cha yeye kupiga ile hospital ya kujifungulia kiliwakera sana Wazungu ndio maana Rais wa Ufaransa alimwambia wazi wazi hawezi kupeleka siraha akawapige watoto GAZA,Netanyahu hii kauli ilimkera sana hiyo mahakama ataruka ruka ila watamtia kwenye nyavu tu.
Putin huenda ikawa kweli akikamatwa dunia itakuwa kwenye mtanzuko mkubwa lakini Netanyahu akikamatwa hakuna chochote kitakachopelekea dunia kuingia kwenye vita.Putin au Netanyahu akikamatwa popote duniani, vita vya tatu vya duniania vitalipuka hapo hapo 🐒
Ili kumaliza ubishi ajichanganye kutembelea mataifa hayo yaliyoweka wazi nia yao ya kumkamata.Hakuna mwenye ubavu wa kumkamata,
Wafia dini mnachekesha nani mwenye mabavu ya kumkamata Netanyahuu kiongozi wa taifa la nuklia Israel labda nikuulize kiongozi gani alishakamatwa baada ya kudhuru taifa lolote mwanachama wa icc mfano Putin alienda falme za kiarabu mbona hawakumshikaWanaukumbi.
Nchi 8—Canada, Ufaransa, Uhispania, Ubelgiji, Ireland, Italia, Uholanzi na Uswizi—zimetangaza kumkamata Netanyahu iwapo ataingia katika eneo lao.
Nadia Bilbassy aliuliza Ikulu kuhusu ICC na sheria za kimataifa, wakajibu: "Tunakataa na hakika tuna maoni tofauti kuhusu hilo"
Pia, soma: Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu (ICC) yatangaza hati za kukamatwa kwa Waziri Mkuu wa Israeli Benjamin Netanyahu
==============
8 countries—Canada, France, Spain, Belgium, Ireland, Italy, the Netherlands, and Switzerland—have announced they will arrest Netanyahu if he enters their territory.
@nadia_bilbassy asked the White House about the ICC & international law, they responded with: “We reject & we certainly have different opinions on that”
View attachment 3158681
Wapumbavu tu hao.Wafia dini mnachekesha nani mwenye mabavu ya kumkamata Netanyahuu kiongozi wa taifa la nuklia Israel labda nikuulize kiongozi gani alishakamatwa baada ya kudhuru taifa lolote mwanachama wa icc mfano Putin alienda falme za kiarabu mbona hawakumshika
hakuna haja ya kuandikia mate,Putin huenda ikawa kweli akikamatwa dunia itakuwa kwenye mtanzuko mkubwa lakini Netanyahu akikamatwa hakuna chochote kitakachopelekea dunia kuingia kwenye vita.
Putin ni tishio la kweli la ulimwengu ndiyo maana anapigana na mataifa yote ya NATO na Marekani lakini Israel hana uwezo wa kusimama vitani peke yake na Hamas achilia mbali Lebanon ama Iran.