Canada na Uswizi zatangaza kumtia mbaroni Benjamin Netanyahu akigusa ardhi yao

Canada na Uswizi zatangaza kumtia mbaroni Benjamin Netanyahu akigusa ardhi yao

israel hata ibaki peke yake na dunia nzima iwe kinyume nayo itasimama imara
Anayeitetea Israel ni USA,UK na Germany and not otherwise.
Na ukae ujue kama USA isingekaa ikamkingia kifua basi Israel ilikua inaangamia peupeee.
Hadi raia wa Israel wameanza kuchukiwa huko nje.
Ulilisikia sakata la Uholanzi kuhusu mashabiki wa mpira!?
 
Putin au Netanyahu akikamatwa popote duniani, vita vya tatu vya duniania vitalipuka hapo hapo 🐒
Netanyahu hana ubavu wa kuanzisha vita ya tatu ya dunia.
Ili hiyo vita itokee ni lazima USA ndio apigane na USA hawezi ku risk Hilo.

Ila Kwa Putin nakubali hakuna taifa litathubutu kumkamata.
Maana hakuna taifa lisilojua nguvu ya Russia mzee.
 
Wanaukumbi.

Nchi 8—Canada, Ufaransa, Uhispania, Ubelgiji, Ireland, Italia, Uholanzi na Uswizi—zimetangaza kumkamata Netanyahu iwapo ataingia katika eneo lao.

Nadia Bilbassy aliuliza Ikulu kuhusu ICC na sheria za kimataifa, wakajibu: "Tunakataa na hakika tuna maoni tofauti kuhusu hilo"

Pia, soma: Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu (ICC) yatangaza hati za kukamatwa kwa Waziri Mkuu wa Israeli Benjamin Netanyahu

==============

8 countries—Canada, France, Spain, Belgium, Ireland, Italy, the Netherlands, and Switzerland—have announced they will arrest Netanyahu if he enters their territory.

@nadia_bilbassy asked the White House about the ICC & international law, they responded with: “We reject & we certainly have different opinions on that”

View attachment 3158681
Ametamgaza kuongeza mashambulizi mapyaa usiku huuu naombaaa utujuze keshoo asbh.....hahahaaaa shikamooo benkqnyiii
 
msisahauuu kutuambia keshoooo walipelekwa kukaaa na mabikira 72 pls mkikaa kimya ntaweka asbh vid na idadi ya fovi
 
Hz nchi zinaona sw Kwa alochofanya HAMAS Kwa Israel , Hawa wanachukia kuona Israel anataka maliza vita Mashariki ya kati Kwa kumaliza magaidi , Bora Africa ya kati walivyowatimuq Hawa akina France , ilikuwa seleka wanazurura mtaani pale Bangui na ukiwaulzia wanasema wamekuja kuleta amani ,wakati wavunja aman wanazurura mtaani , soon hayo mataifa yatakubwa na ugaidi huu wanaushabikia
Unajiona umeongea la maana kumbe ndio ujue kua hujui kitu yaani ila tuna heshimu mawazo yako
 
Ole wenu mmkamate ndio mtajua Israel ni taifa teule
 
Some of the countries that are signatories to the Rome Statute.

They'll have to arrest Netanyahu if he steps on their soil. He's also not allowed to use their Airspace.
🇦🇱 🇦🇩 🇦🇬 🇦🇷🇦🇲 🇦🇫 🇦🇺 🇦🇹 🇧🇩 🇧🇧 🇧🇪🇧🇿 🇧🇯 🇧🇴 🇧🇦 🇧🇼 🇧🇷 🇧🇬 🇧🇫 🇰🇭 🇨🇦 🇨🇫🇹🇩 🇨🇱 🇨🇴 🇰🇲 🇨🇩 🇨🇰 🇨🇷 🇨🇮 🇭🇷 🇨🇾🇩🇰 🇩🇯 🇩🇲 🇩🇴 🇪🇨 🇸🇻 🇪🇪 🇫🇯 🇫🇮 🇫🇷 🇬🇦 🇬🇲 🇬🇪🇩🇪 🇬🇭 🇬🇷 🇬🇩 🇬🇹 🇬🇳 🇬🇾 🇭🇳 🇭🇺 🇮🇸 🇮🇪 🇮🇹 🇯🇵 🇯🇴 🇰🇪 🇰🇮 🇱🇻 🇱🇸 🇱🇷 🇱🇮 🇱🇹 🇱🇺 🇲🇬 🇲🇼 🇲🇻 🇲🇱 🇲🇹 🇲🇭🇲🇺 🇲🇽 🇲🇳 🇲🇪🇳🇦 🇳🇷🇧🇶
🇳🇿 🇳🇪 🇳🇬 🇲🇰 🇳🇴 🇵🇦 🇵🇾 🇵🇪 🇵🇱🇵🇹 🇰🇷🇲🇩 🇷🇴 🇰🇳 🇱🇨 🇻🇨 🇼🇸 🇸🇲 🇸🇳 🇷🇸
🇸🇨🇸🇱 🇸🇰 🇸🇮 🇿🇦 🇪🇸 🇵🇸 🇸🇷 🇸🇪 🇨🇭 🇹🇿 🇹🇯🇹🇱🇹🇹🇹🇳 🇺🇬 🇬🇧🇺🇾 🇻🇺🇻🇪🇿🇲
Hata South Africa walisemaga Putin akitia maguu bushi kwao wanaruka naye swali Je uwezo huo walikua nao ? Au ndio mambo ya binadamu mwenye kinywa
 
Yaani kikundi cha kigaidi kishambulie Israel halafu Israel ikiadhibu kikundi hicho ndio iwe uhalifu wa kivita kiasi cha kupelekea Netanyahu akamatwe? Netanyahu sio Slobodan Millosevich wala Charles Taylor na kina Kony
Hati ishatolewa mkuu hutaki 😂
 
Wazungu ua watu wote lakini sio watoto kitendo cha yeye kupiga ile hospital ya kujifungulia kiliwakera sana Wazungu ndio maana Rais wa Ufaransa alimwambia wazi wazi hawezi kupeleka siraha akawapige watoto GAZA,Netanyahu hii kauli ilimkera sana hiyo mahakama ataruka ruka ila watamtia kwenye nyavu tu.
 
Huu uongo unakusaidia nini!?
Hamas na Canada wapi na wapi!?
Hamas wao kiu yao ni uhuru wa Palestina,suala la huko Canada linaingiaje?
Mbona toka kipindi Cha kina Anwar Sadat wapalestina walikuwepo Canada na hawakufanya unachodai.
Acheni usambazaji maneno ya chuki.
Juzi hukuwaona Waarabu wakiwapiga Wa Israel huko Ulaya? Uislam ni Janga, Siku wakiamka na Takbir Allah akbar wanajilipua, atamtafuta Neta nyau haraka aje amsaidie.
 
Wanataka kuwafurahisha waarabu, watakuja kujuta na huo uhamiaji holela walioruhusu. Time Will Tell
Hahaha hiyo specie huwa hawana shukran, angalia Europe walivyosumbua. siku hizi wameanza kuelewa huwezi kudanganywa kujilipua, halafu anayekudanganya yeye anakula raha duniani, hataki kwenda kupata 72.
 
Back
Top Bottom