Canada na Uswizi zatangaza kumtia mbaroni Benjamin Netanyahu akigusa ardhi yao

Canada na Uswizi zatangaza kumtia mbaroni Benjamin Netanyahu akigusa ardhi yao

Hz nchi zinaona sw Kwa alochofanya HAMAS Kwa Israel , Hawa wanachukia kuona Israel anataka maliza vita Mashariki ya kati Kwa kumaliza magaidi , Bora Africa ya kati walivyowatimuq Hawa akina France , ilikuwa seleka wanazurura mtaani pale Bangui na ukiwaulzia wanasema wamekuja kuleta amani ,wakati wavunja aman wanazurura mtaani , soon hayo mataifa yatakubwa na ugaidi huu wanaushabikia
Icc inaendeshwa na wataalamu mkuu
 
HAkuna cha maana hapo labda walikuwa kwenye gahawa zao za kila siku
Benja hatokamtwa na amepata mualiko kwenda kutembea hungary
 
Hii ndiyo hali halisi:

IMG_20241122_184311.jpg


IMG_20241122_184654.jpg


IMG_20241122_184742~2.jpg


IMG_20241122_185210.jpg


Alipo kupumulia machine hakuwezi kuacha kumhusu!
 
Kikundi Cha kigaidi Kwa mujibu wa SHANGAZI yako!?
Yani wakubwa wa mataifa ya dunia wawaite hao freedom fighters wewe ndio uwaite magaidi!?
povu la nini wakati wale ni magaidi
 
Wanataka kuwafurahisha waarabu, watakuja kujuta na huo uhamiaji holela walioruhusu. Time Will Tell
Bahati mbaya wayahudi ndio wameonekana kuwa tatizo ulimwenguni.
Walifanya fujo Uholanzi na walifanya fujo Ugiriki.
Hadi ikawaogopesha Ufaransa wakaweka limited number ya mashabiki uwanjani.
Pole yako.
 
october 7 walifanya nini israel mpaka ianze kuwashushia kipondo kizito? Acha ushabiki wa kidini
Nikikuita wewe mpuuzi nakukosea!?
Israel ilifanya nini Agosti 23!?
Unajisahaulisha kuwa Israel imekua ikishambulia wakaazi wa Khani Younis kupitia askari na walowezi wa kizayuni!?
Unajisahaulisha kuwa Israel Agosti ilivamia Khani Younis,iliharibu mashamba na kukanyaga watu na vifaru!?
Unajisahaulisha kuwa Kila mwaka malalamiko hupelekwa UN ya Israel kupuliza sumu za kuua mazao kwenye mashamba ya Palestina!?
Au unajitoa akili!?

Au wewe una akili kuliko Brazil,Belgium na Spain ambao walivunja uhusiano wa kidiplomasia na Israel!?
Au wewe una akili kuliko mataifa 124 yaliyopiga kura dhidi ya Israel!
?

 
Back
Top Bottom