Tony Laurent
JF-Expert Member
- Jan 5, 2011
- 5,606
- 7,032
Inawezekana wengi hawajui au wanapuuzia na kujitoa ufahamu. Ni kwamba Mungu ana jambo lake na Israel 🇮🇱 . Kila unabii uliotabiriwa kuhusu taifa hilo, ambao bado haujatimia, basi ni LAZIMA uje kutimia, haijalishi itachukua muda gani au watakutana na vikwazo vya namna gani? Hata kama dunia nzima ikiamua kuwatenga, kile ambacho Mungu alisema kuhusu wao kupitia Torati ya Musa na Manabii lazima kitakuja kutimia tu.
NB: Uteule wa taifa la Israel kwa Mungu, haimaniishi kuwa wao ni watakatifu kuliko watu wengine, wala haimaniishi kuwa huwa hawafanyi makosa. Makosa au dhambi zao zisikufanye ukaichukulia poa.
NB: Uteule wa taifa la Israel kwa Mungu, haimaniishi kuwa wao ni watakatifu kuliko watu wengine, wala haimaniishi kuwa huwa hawafanyi makosa. Makosa au dhambi zao zisikufanye ukaichukulia poa.