Canada na Uswizi zatangaza kumtia mbaroni Benjamin Netanyahu akigusa ardhi yao

Anataka mpaka mzungu ndio aseme fulani ni Gaidi ndio aamini,
Wanajua kua mzungu ndio mwenye mamlaka ya kuwabrand watu kua nani gaidi na nani sio gaidi.
Tatizo sana Nyerere alikosea sana kuruhusu shule za mission, akili zao zimeisha kuwa za kimissioni mission vile mpa mzungu aseme ndio wainame kusema sawa baba 😄
 
Putin na habari ingine hamna nchi yeyote ambayo imesema itamkamata Putin usijiliwaze watu wana dili na Gaidi Netanyahu.
Hahahahahah Gaidi Netanyau lazima anyamatwe kokote atapotuama.
 
kwahivyo kwa maoni yako, unadhani
vita ya tatu ya dunia inaweza kua ni kati ya Uingereza na Marekani kwasabb ya Israel right?🐒
Hivi hata unaelewa nacho ongea? Mpaa uwe na akili ndio utafahamu wenye akili wakiongea. We umesema akikamatwa nyau kutakuwa na vita vya WW3 kivipi? Sababu ipi hujatueleza. Pili kama unategemea US atakuwa against UK basi unaota US yuko tayari kuwapinga Israel lakini asimpinge UK hio weka akilini UK wameisha sema Nyau watamtia ndani akigusa UK hilo ni pigo kubwa sana kwa USA kabla ya Israel. Usifananishe Putin na Nyau hata siku moja.
 
Wanaukumbi.

Nchi 8—Canada, Ufaransa, Uhispania, Ubelgiji, Ireland, Italia, Uholanzi na Uswizi—zimetangaza kumkamata Netanyahu iwapo ataingia katika eneo lao.

Nadia Bilbassy aliuliza Ikulu kuhusu ICC na sheria za kimataifa, wakajibu: "Tunakataa na hakika tuna maoni tofauti kuhusu hilo"

Pia, soma: Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu (ICC) yatangaza hati za kukamatwa kwa Waziri Mkuu wa Israeli Benjamin Netanyahu

==============

8 countries—Canada, France, Spain, Belgium, Ireland, Italy, the Netherlands, and Switzerland—have announced they will arrest Netanyahu if he enters their territory.

@nadia_bilbassy asked the White House about the ICC & international law, they responded with: “We reject & we certainly have different opinions on that”

View attachment 3158681
Wazungu wanafiki sana. 🤣🤣🤣
 
Putin au Netanyahu akikamatwa popote duniani, vita vya tatu vya duniania vitalipuka hapo hapo 🐒

Putin sawa, ila SHETANYAHU alete WW3 kwa kipi? huyo mwizi wa ardhi anajulikana dunia nzima kwa ujambazi.. hata nchi yake mwenyewe kaiibia anasubiriwa atoke huo uwaziri mkuu aende court hapo Tel Avivi
 
Hana amani hapa duniani na akifa kuna moto wa jehanamu unamsubiri. Hapo tunasema ukisimama nchale, ukikaa nchale ukilala nchale..
huyo kweli SHETANYAHU
 
Hakuna mwenye ubavu wa kumkamata,
Kwanza aende kwenye hizo nchi viherehere kufanya nini? Baada ya muda utairishwa uchaguzi anachaguliwa mwenye kaliba ya Netanyahu. Hakuna kupoa hadi magaidi yote pale Gaza yatokomezwe.
 
Wanaukumbi.

Nchi 8—Canada, Ufaransa, Uhispania, Ubelgiji, Ireland, Italia, Uholanzi na Uswizi—zimetangaza kumkamata Netanyahu iwapo ataingia katika eneo lao.

Nadia Bilbassy aliuliza Ikulu kuhusu ICC na sheria za kimataifa, wakajibu: "Tunakataa na hakika tuna maoni tofauti kuhusu hilo"

Pia, soma: Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu (ICC) yatangaza hati za kukamatwa kwa Waziri Mkuu wa Israeli Benjamin Netanyahu

==============

8 countries—Canada, France, Spain, Belgium, Ireland, Italy, the Netherlands, and Switzerland—have announced they will arrest Netanyahu if he enters their territory.

@nadia_bilbassy asked the White House about the ICC & international law, they responded with: “We reject & we certainly have different opinions on that”

View attachment 3158681
Umerudi tena huku?miezi kadhaa iliyopita ulikuja huku unashangilia kuwa SA Wamemhukumu Netanyau kifungo yeye na Wayahudi. Ukashangilia sana. Then ikawaje?😂 Akaendelea tu kutembeza kipigo. Na hayo mataifa unayoyashabikia ni ya Wazungu. Nlitegemea uniambie Syria,Morocco,Iran,Iraq,Pakist,Afgh,Oman,Egypt,Somalia,Sudan,Saudi n.k
 
Wanaukumbi.

Nchi 8—Canada, Ufaransa, Uhispania, Ubelgiji, Ireland, Italia, Uholanzi na Uswizi—zimetangaza kumkamata Netanyahu iwapo ataingia katika eneo lao.

Nadia Bilbassy aliuliza Ikulu kuhusu ICC na sheria za kimataifa, wakajibu: "Tunakataa na hakika tuna maoni tofauti kuhusu hilo"

Pia, soma: Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu (ICC) yatangaza hati za kukamatwa kwa Waziri Mkuu wa Israeli Benjamin Netanyahu

==============

8 countries—Canada, France, Spain, Belgium, Ireland, Italy, the Netherlands, and Switzerland—have announced they will arrest Netanyahu if he enters their territory.

@nadia_bilbassy asked the White House about the ICC & international law, they responded with: “We reject & we certainly have different opinions on that”

View attachment 3158681
Maji na mafuta mdogo mdogo yanaanzaj kujitenga ..wale magaidi halisi mwisho wa siku watajulikana wote..
 
Back
Top Bottom