Canada na Uswizi zatangaza kumtia mbaroni Benjamin Netanyahu akigusa ardhi yao

Canada na Uswizi zatangaza kumtia mbaroni Benjamin Netanyahu akigusa ardhi yao

Wanaukumbi.

Nchi 8—Canada, Ufaransa, Uhispania, Ubelgiji, Ireland, Italia, Uholanzi na Uswizi—zimetangaza kumkamata Netanyahu iwapo ataingia katika eneo lao.

@nadia_bilbassy aliuliza Ikulu kuhusu ICC na sheria za kimataifa, wakajibu: "Tunakataa na hakika tuna maoni tofauti kuhusu hilo"

==============

8 countries—Canada, France, Spain, Belgium, Ireland, Italy, the Netherlands, and Switzerland—have announced they will arrest Netanyahu if he enters their territory.

@nadia_bilbassy asked the White House about the ICC & international law, they responded with: “We reject & we certainly have different opinions on that”

View attachment 3158681
Tungeanza kuangalia ile ya Putin iliishia wapi. Zaidi ya hapo, ni lini Netanyahu alitembelea hizo nchi?
 
Unafikiri Biden anaweza pigana na Canada kisa netanyahu?
angekua sio wa kujifungia white house angekua na ukali wa kitofauti sana ukilinganisha na udhaifu na unyonge alionao. Biden ni vuguvugu mwenye mawenge..

Jembe moto au baridi ni Trump ataamua iweje.

mwendesha mashataka wa ICC anaeweza akawekewa bikwazo vya kusafiri nje ya uholanzi 🤣
 
Wanaukumbi.

Nchi 8—Canada, Ufaransa, Uhispania, Ubelgiji, Ireland, Italia, Uholanzi na Uswizi—zimetangaza kumkamata Netanyahu iwapo ataingia katika eneo lao.

Nadia Bilbassy aliuliza Ikulu kuhusu ICC na sheria za kimataifa, wakajibu: "Tunakataa na hakika tuna maoni tofauti kuhusu hilo"

Pia, soma: Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu (ICC) yatangaza hati za kukamatwa kwa Waziri Mkuu wa Israeli Benjamin Netanyahu

==============

8 countries—Canada, France, Spain, Belgium, Ireland, Italy, the Netherlands, and Switzerland—have announced they will arrest Netanyahu if he enters their territory.

@nadia_bilbassy asked the White House about the ICC & international law, they responded with: “We reject & we certainly have different opinions on that”

View attachment 3158681
Anahitaji kwenda huko ? Mbona Magufuli amekufa hajatembelea ulaya kama Rais.
 
Unafikiri Biden anaweza pigana na Canada kisa netanyahu?
EU is playing both arsonist and firefighter. First they enable the genocidal zionist regime by arming them to the teeth and giving them a diplomatic cover, then they hypocritically tell the ICC to indict Netanyahu in a bold move to dissuade the ever indignant Muslim world.

White Men never betray their own kin, especially to an institution which was primarily designed to put Africans and Asians in check.

If you believe that anything is going to happen to a White Polish dude, Benjamin Mileikowsky then you're surely living ina dream world.​
 
Attachments

  • IMG_0740.jpeg
    IMG_0740.jpeg
    338.3 KB · Views: 2
Wanaukumbi.

Nchi 8—Canada, Ufaransa, Uhispania, Ubelgiji, Ireland, Italia, Uholanzi na Uswizi—zimetangaza kumkamata Netanyahu iwapo ataingia katika eneo lao.

Nadia Bilbassy aliuliza Ikulu kuhusu ICC na sheria za kimataifa, wakajibu: "Tunakataa na hakika tuna maoni tofauti kuhusu hilo"

Pia, soma: Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu (ICC) yatangaza hati za kukamatwa kwa Waziri Mkuu wa Israeli Benjamin Netanyahu

==============

8 countries—Canada, France, Spain, Belgium, Ireland, Italy, the Netherlands, and Switzerland—have announced they will arrest Netanyahu if he enters their territory.

@nadia_bilbassy asked the White House about the ICC & international law, they responded with: “We reject & we certainly have different opinions on that”

View attachment 3158681
White House si Ikulu. White House ni Ikulu ya Marekani.

Unachanganya watu wanaweza kufikiri Ikulu ya Dodoma imeulizwa kuhusu Netanyahu.
 
Hata wewe mwenyewe unaelewa Hilo ila unajitoa ufahamu tu😀
Rais wa Colombia Gustavo Petro alielezea kuwa uamuzi wa "mantiki" wa Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu (ICC) kutoa hati za kukamatwa kwa Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu na Waziri wa zamani wa Ulinzi Yoav Gallant.

"Hili ndilo jambo la kimantiki kufanya. Netanyahu ni mauaji ya halaiki. Mahakama ya dunia ya haki inasema hivyo na uamuzi wake lazima ufuatwe," Petro aliandika X. "Ikiwa Biden atapuuza amri hii, anaongoza ulimwengu katika unyama. Ulaya Magharibi lazima kurejesha uhuru wake katika siasa za kimataifa na kuchukua hatua kutii amri ya mahakama.”

View: https://x.com/qudsnen/status/1859904603992498217?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
 
Putin na habari ingine hamna nchi yeyote ambayo imesema itamkamata Putin usijiliwaze watu wana dili na Gaidi Netanyahu.
Wapi wamesema netanyahu ni gaidi??.leta hayo maandishi.
 
Back
Top Bottom