Canada na Uswizi zatangaza kumtia mbaroni Benjamin Netanyahu akigusa ardhi yao

Canada na Uswizi zatangaza kumtia mbaroni Benjamin Netanyahu akigusa ardhi yao

Wavaa vipedo,misuli na makobazi mnaniacha hoi.Kutoka kufurahia mauaji na utekaji wa October,7 ,mwaka jana mpaka kuomba msaada wa mahakama ya ICC ilioanzishwa na makafiri kulingana na imani yenu?Hivi si mlikuwa mkijitapa mnaweza vita dhidi ya Israeli mkisaidiwa na baba yenu Iran,sasa yako wapi?
 
Tanzania vipi
Haha kwanza tukiondoa marais wa marekani waliokuwa wanakuja kimkakati kipindi cha Kikwete kuna kiongozi toka mataifa ya NATO aliyewahi kutua Tanzania? So hata tukitoa msimamo wetu wakati kwenye duru za Israel Tanzania haipo wala hawajawahi kuiwaza itasaidia nini?😀😀
 
Ni muda tu PUTIN anaenda kwa NETANYAHU ili kufanya jambo Fulani la kimasihi ili andiko litimie
 
Wavaa vipedo,misuli na makobazi mnaniacha hoi.Kutoka kufurahia mauaji na utekaji wa October,7 ,mwaka jana mpaka kuomba msaada wa mahakama ya ICC ilioanzishwa na makafiri kulingana na imani yenu?Hivi si mlikuwa mkijitapa mnaweza vita dhidi ya Israeli mkisaidiwa na baba yenu Iran,sasa yako wapi?
Wewe Kafiri,aliyepeleka hii kesi ICC ni South Africa,

Vita ina kanuni zake,jifunze kanuni za vita kwanza,

Naona Yahudi mweusi wa Liwale umepandwa na Jazba kusikia Adui wa Yesu anatafutwa na ICC
 
Sasa umekasirika nini😅
 
Marekani siyo mwanachama wa Mahakama hiyo, washirika wake Canada, Italy, ufaransa, wamemtupa wamemwambia wazi ukija kwetu tunakukamata😅
Gentleman,
kwani Israel ni mwanachama wa ICC, hata wababaike na hilo ?🤣
 
Wanaukumbi.

Nchi 8—Canada, Ufaransa, Uhispania, Ubelgiji, Ireland, Italia, Uholanzi na Uswizi—zimetangaza kumkamata Netanyahu iwapo ataingia katika eneo lao.

Nadia Bilbassy aliuliza Ikulu kuhusu ICC na sheria za kimataifa, wakajibu: "Tunakataa na hakika tuna maoni tofauti kuhusu hilo"

Pia, soma: Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu (ICC) yatangaza hati za kukamatwa kwa Waziri Mkuu wa Israeli Benjamin Netanyahu

==============

8 countries—Canada, France, Spain, Belgium, Ireland, Italy, the Netherlands, and Switzerland—have announced they will arrest Netanyahu if he enters their territory.

@nadia_bilbassy asked the White House about the ICC & international law, they responded with: “We reject & we certainly have different opinions on that”

View attachment 3158681
Unajipa moyo kabisa ukiwa hapo kichangani na jua hili ukinywa alkasusu..
 
Viongozi wa afrika wao hawajasema chochote wakimaanisha wanaunga mkono mauaji?bibi Samia atoe tamko la kumkamata netanyahu.
 
Wewe Kafiri,aliyepeleka hii kesi ICC ni South Africa,

Vita ina kanuni zake,jifunze kanuni za vita kwanza,

Naona Yahudi mweusi wa Liwale umepandwa na Jazba kusikia Adui wa Yesu anatafutwa na ICC
Unamwita mwafrika mwenzio kafiri kisa hamuabudu mungu wa maquraysh.
Pole sana!
 
Back
Top Bottom