Jifarijini nyie wagonokajiYahudi la Bushosa linatoa tamko wakati Netanyahu mwenyewe analamika kaonewa😂
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jifarijini nyie wagonokajiYahudi la Bushosa linatoa tamko wakati Netanyahu mwenyewe analamika kaonewa😂
Jifarijini nyie wagoYahudi la Bushosa linatoa tamko wakati Netanyahu mwenyewe analamika kaonewa😂
Marekani siyo mwanachama wa Mahakama hiyo, washirika wake Canada, Italy, ufaransa, wamemtupa wamemwambia wazi ukija kwetu tunakukamata😅Mfadhili wake amesema wazi kwamba uamuzi huo wa kuchukiza ni wa kishenzi, hii ina maana gani 🐒
Sababu ilitakiwa asubulibiwe kwasababu yangu na Yako shehe pasipo yy hata mtume wako usingemjuaYahudi ni adui wa huyo Mungu wako,walimkana,wakamtesa kisha wakamsulubu,
Toka usingizini.
Yahadi jeusi limekasirika😅😅😅Jifarijini nyie wago
Halafu myahudi mweusi wa Nzega anasema hiyo Arrest warrant haina nguvu,huku kibabu kinatema povu huko.Mfadhili wake amesema wazi kwamba uamuzi huo wa kuchukiza ni wa kishenzi, hii ina maana gani 🐒
Itoshe kusema kua,upo kwenye usingizi wa pono,Sababu ilitakiwa asubulibiwe kwasababu yangu na Yako shehe pasipo yy hata mtume wako usingemjua
Haha kwanza tukiondoa marais wa marekani waliokuwa wanakuja kimkakati kipindi cha Kikwete kuna kiongozi toka mataifa ya NATO aliyewahi kutua Tanzania? So hata tukitoa msimamo wetu wakati kwenye duru za Israel Tanzania haipo wala hawajawahi kuiwaza itasaidia nini?😀😀Tanzania vipi
Ahsante Aya subiria ulivyoaidiwa peponi kama utavikuta utaniita me mbwaItoshe kusema kua,upo kwenye usingizi wa pono,
Endelea tu kuuchapa usingizi.
Wewe Kafiri,aliyepeleka hii kesi ICC ni South Africa,Wavaa vipedo,misuli na makobazi mnaniacha hoi.Kutoka kufurahia mauaji na utekaji wa October,7 ,mwaka jana mpaka kuomba msaada wa mahakama ya ICC ilioanzishwa na makafiri kulingana na imani yenu?Hivi si mlikuwa mkijitapa mnaweza vita dhidi ya Israeli mkisaidiwa na baba yenu Iran,sasa yako wapi?
Sasa umekasirika nini😅Wavaa vipedo,misuli na makobazi mnaniacha hoi.Kutoka kufurahia mauaji na utekaji wa October,7 ,mwaka jana mpaka kuomba msaada wa mahakama ya ICC ilioanzishwa na makafiri kulingana na imani yenu?Hivi si mlikuwa mkijitapa mnaweza vita dhidi ya Israeli mkisaidiwa na baba yenu Iran,sasa yako wapi?
Hata hizi ni siasa,, ila za kimataifa, labda kama neno siasa Lina maana tofauti.Habari za magufuli peleka jukwaa la siasa hapa tunamuongelea Gaidi Netanyahu.
Kajifundishe kuandika kwanza kisha njoo tena.Ahsante Aya subiria ulivyoaidiwa peponi kama utavikuta utaniita me mbwa
Gentleman,Marekani siyo mwanachama wa Mahakama hiyo, washirika wake Canada, Italy, ufaransa, wamemtupa wamemwambia wazi ukija kwetu tunakukamata😅
Unajipa moyo kabisa ukiwa hapo kichangani na jua hili ukinywa alkasusu..Wanaukumbi.
Nchi 8—Canada, Ufaransa, Uhispania, Ubelgiji, Ireland, Italia, Uholanzi na Uswizi—zimetangaza kumkamata Netanyahu iwapo ataingia katika eneo lao.
Nadia Bilbassy aliuliza Ikulu kuhusu ICC na sheria za kimataifa, wakajibu: "Tunakataa na hakika tuna maoni tofauti kuhusu hilo"
Pia, soma: Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu (ICC) yatangaza hati za kukamatwa kwa Waziri Mkuu wa Israeli Benjamin Netanyahu
==============
8 countries—Canada, France, Spain, Belgium, Ireland, Italy, the Netherlands, and Switzerland—have announced they will arrest Netanyahu if he enters their territory.
@nadia_bilbassy asked the White House about the ICC & international law, they responded with: “We reject & we certainly have different opinions on that”
View attachment 3158681
Unamwita mwafrika mwenzio kafiri kisa hamuabudu mungu wa maquraysh.Wewe Kafiri,aliyepeleka hii kesi ICC ni South Africa,
Vita ina kanuni zake,jifunze kanuni za vita kwanza,
Naona Yahudi mweusi wa Liwale umepandwa na Jazba kusikia Adui wa Yesu anatafutwa na ICC
Tulia Kafiri wewe,Unamwita mwafrika mwenzio kafiri kisa hamuabudu mungu wa maquraysh.
Pole sana!